Recent content by Kiwondi

  1. Kiwondi

    JamiiForums Tanzania Daktari huyu alitaka kunibaka?

    Hiki kitakuwa Made in China?
  2. Kiwondi

    JamiiForums Tanzania Nauza Kiwanja Goba Njia Panda Tegeta A meta 130 toka Skymark Supermarket

    TSHS. 142,300
  3. Kiwondi

    JamiiForums Tanzania Hatimae Misri imetajwa rasmi kama mshirika anayepigana upande wa Israel dhidi ya Gaza

    Al Sisi anajitambua hawezi kamwe kuwa upande wa magaidi wa Hamas na washirika wao wa Iran Lakini soon Israel anaenda kukata kichwa cha nyoka (Iran) ili kuleta amani ya kudumu hapo Mashariki ya KATI
  4. Kiwondi

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Papa huko Vatican umejaa majungu. Makadinali kutoka Afrika hata hawatajwi

    Majungu yake yanafikia ule wetu wa BAKWATA?
  5. Kiwondi

    JamiiForums Tanzania Nauza Kiwanja Goba Njia Panda Tegeta A meta 130 toka Skymark Supermarket

    Wakuu nauza kiwanja changu mwenyewe hakina Dalali. Bei mil 200 Ukubwa 1405M² Barabara zinapitika muda wote, kipo kabla ya kanisa la Methodist Barabara ya lami ya Goba Mbezi Luis ipo 130M toka kilipo kiwanja Kina Hati ya miaka 99 imeshaisha 4 tu Maji na umeme vipo jirani Serious buyer PM only
  6. Kiwondi

    JamiiForums Tanzania Sitawasamehe Wenye Mamlaka kwa Kuruhusu Wawekezaji wa Kamari wa Kichina Kuwekeza Mashine Zao za Kamari Kijijini Kwetu Ngangu

    Hivi karibuni, nilienda kijijini kwetu Ngangu kilichopo Kata ya Kilema Kati Wilaya ya Moshi Vijijini kwa nia ya kusalimia ndugu na jamaa. Ni karibu mwaka mzima umepita tangu niende huko mara ya mwisho. Kijiji hiki kimezungukwa mandhari nzuri ya miti iliyotapakaa kila sehemu. Katikati ya miti...
Back
Top Bottom