Sababu sikujifanya yesu hapana ila ndo ukwel umeona fikra zako sasa zilivyo kaa jitafakari usipo ona shida katika fikra zako ujue niliozungumza yanakuhusu kwa namna moja au nyingine unaonyesha fikra ya ubinafsi Isiyo kawaida
Miaka ya leo kila mtu amekuwa wa kujifikiri yeye tu na kufanya mambo ya kumnufaisha yeye bila hata kujali kama anawaumiza watu wengine kwa yale anayoyafanya chanjo zaidi ni pesa ambayo watu wote wamekuwa wakiitolea macho hata kama kwa kuipata atamdhulumu mwingine
Utu umepotea ubinadamu haupo...
Hebu ona sasa kama hapo ni aibu tupu kwa wanawake afu ona mwanaume alichokifanya yeye kajificha dah! Dada zetu tunakoelekea ni kubaya sana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] na hii dunia ya leo ukiongea kitu mpka mtu akuelewe sijihi na matusi ushatukanwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.