Recent content by kiwandayi

  1. kiwandayi

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Aneth Msuya: Mfanyabiashara Revo Evarist afikishwa Mahakamani Kisutu

    Revo ndiye aliyepandishwa kizimbani na Magoma ndiye kaachiwa huru.
  2. kiwandayi

    JamiiForums Tanzania Huyu dereva huo sio uendeshaji wa Gari

    Mbona hulalamikii msafara wa rais au makamu wa rais au waziri mkuu?
  3. kiwandayi

    JamiiForums Tanzania Padri Mapunda akosolewa vikali baada ya kumshukia Rais Magufuli

    Pia kumfananisha Magufuli na Mungu, utakuwa umelenga shimoni..... Kumfananisha padre Mapunda na Musa ni mahali pake umepatia. Magufuli mfananishe na Farao wa Misri....
  4. kiwandayi

    JamiiForums Tanzania Padri Mapunda akosolewa vikali baada ya kumshukia Rais Magufuli

    Kuwa na amani, taifa haliwezi kugawanyika na jeshi la polisi lipo kuhakikisha mtukufu hakosolewi. Taifa mtaligawanya wenyewe kwa mikono yenu wala hatuna muda mrefu.
  5. kiwandayi

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: What went wrong? Mount Meru Hotel inauzwa, Snow Crest ipo mnadani

    Kufanya kazi kunahusiana nini na kuuzwa kwa hotels mashuhuri jijini Arusha? Kila mtu humu anafanya kazi hakuna asiyefanya kazi. Lazima tunaposikia au kuona jambo haliko sawa tuulizane.
  6. kiwandayi

    JamiiForums Tanzania TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

    Tunachoangalia cyo nani anamiliki bali tuangalie kwanini inauzwa
  7. kiwandayi

    JamiiForums Tanzania TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

    Kwakweli huko tuendako hali ni tete wala siyo uongo. Nimesoma matangazo Mount Meru Hotel inauzwa na Snow Crest ipo kwenye process ya kupigwa mnada. Halafu tunaambiwa uchumi unapanda
  8. kiwandayi

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: What went wrong? Mount Meru Hotel inauzwa, Snow Crest ipo mnadani

    Bado majengo ya wizara yatapigwa minada pia
  9. kiwandayi

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa kwa kupungua nguvu za kiume siyo aina ya chakula bali

    Kuzaa sana au kutokuzaa sana hakumaanishi uwezo wa nguvu za kiume au upungufu wa nguvu za kiume. Kuna statement niliwahi kuiskia kuwa "mwanamke akikaa muda mrefu bila kuguswa, ni rahisi kushika mimba akiingiliwa wakati wowote baada ya menstrual period" though I'm not certain sure. Kama ni...
  10. kiwandayi

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa kwa kupungua nguvu za kiume siyo aina ya chakula bali

    Upungufu wa nguvu za kiume kila mtu anazo sababu na chanzo cha tatizo kwake. Ila tatizo kuu ni kuathirika kisaikolojia. Mfano mimi nikiwa sina pesa nakuwa na stress hata sex nikifanya nnakuwa mbali kifikra. Kizazi chetu nacho ili kuandaa mazingira mazuri ya sex lazima wallet ikunjuke na balaa...
  11. kiwandayi

    JamiiForums Tanzania Mh. Cheyo apatiwe ubunge wa kuteuliwa

    Kwa umri wake hafai kuongoza tena,
  12. kiwandayi

    JamiiForums Tanzania TRA valuation system ya magari haiko fair

    Watanzania tunaumia sana kwa kodi hizi za kukomoana. Ile ahadi ya rais wa wananchi masikini hapa inatenda kinyume chake. Watakaomudu kutembelea magari binafsi ni matajiri tu. Siye masikini tutaishia kuomba lift
  13. kiwandayi

    JamiiForums Tanzania Ninaunga mkono Serikali kuzifungia Redio Magic FM na Redio 5 kwa maslahi ya Taifa

    Neno "UCHOCHEZI" ni mbeleko kwa CCM kuelekea 2020
Back
Top Bottom