Recent content by kiwaloni

  1. K

    Baada ya UKAWA kushindwa kwenye mikutano ya Kampeni, wageukia mitandao ya kijamii

    kura kwa lowasa... naomba uzima october 25 , we endelea kuchonga kwenye mitandao.
  2. K

    ACT-Wazalendo yashusha bendera za CHADEMA Kigoma,wakomba 3500 kutoka CHADEMA,CUF na NCCR Mageuzi

    nipo kigoma ujiji hakuna kitu kama hicho.. Acha pumba zako na uwongo. Isitoshe zito hapa kigoma ni wa kawaida sana.
  3. K

    Maprofesa wa Kenya watakumbukwa kwa kuandika vitabu, kuikosoa serikali. Sisi tutawakumbuka kwa lipi?

    maprofesa na ma dr wetu, wengi wao akili zao zishatafunwa na siasa,
  4. K

    Aibu nyingine kwa CHADEMA

    Hizi ni dalili za mtu mzima kuchanganyikiwa, mtela du umefikia hatua hii, kweli ccm wamekufanya vibaya, majuzi nilikuonea huruma ulipokuwa unaikimbia mvua pale mwenge, umechoka kama si wewe niliyokuwa nikikufahamu, ila tahadhari usije ukaweka picha zako za utupu huku kwa sababu naona unazidi...
  5. K

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud afukuzwa kazi, Said Hassan Said apewa nafasi hiyo

    Hii ndio tunaelezwa kuwa ccm kuna demokrasia, demokrasia ni pamoja na uhuru wakutoa mawazo, demokrasia ikwapi ccm? Isitoshe mwanasheria mkuu wa zanzibar alitoa maoni yake kama mjumbe na si kama mwanasheria mkuu cha kushangaza ni haya maamuzi yanatoka wapi? Tuna safari ndefu sana. CCM ni mwiko...
  6. K

    Yaliyojiri mkutano wa UKAWA na waandishi wa habari Makao Makuu ya CUF, DSM

    nifuraha tupu sasa, katiba iliyotungwa na ccm wameipitisha wenyewe. hizi ni shangwe
  7. K

    Yaliyojiri mkutano wa UKAWA na waandishi wa habari Makao Makuu ya CUF, DSM

    nifuraha tupu sasa, katiba ya ilitungwa na ccm wameipitisha wenyewe. hizi nishangwe
  8. K

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

    Wabunge wa bunge maalamu haswa kutoka ccm hakuna cha maana katika kujenga hoja, zaidi ya mipasho, kijeli, vijembe, matusi na kuiteta tume ya warioba, inashangaza sana tume iliyotumia gharama kubwa wanaitusi kwa sababu tu hawakufanya ccm walichokuwa wakikitaka. Iwe serikali mbili sawa tu lakini...
  9. K

    Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

    Kama Taifa sasa imefikia mahala hata wasomi wa kuheshimiwa, maprofesa, madoctor, wanasheria n.k, uccm umewafanya elimu zao kuwa si chochote tena na wasio na thamani tena. Kama msomi anaweza fikia mahala akakana alichoandika mwenyewe basi tunakaribia kuingia gizani. Mtu mzima na msomi...
  10. K

    Wapenzi wa CHADEMA acheni dharau na Matusi kwa watu wa Kalenga, nchi hii ni ya demokrasia

    hayo si matusi, wenzetu wengi wa vijijini ni maskini sana sana ambao elimu ya kujitambua katika hako zao hamna na hawa ndio mtaji mkubwa wa ccm, siku watakapojitambua ccm mtalia na kusaga meno. hakuna kilichopo duniani kisichokuwa na mwisho. Kuna siku watanzania watasema basi.
  11. K

    Hakuna chama cha upinzani Tanzania kinachoweza kuunda serikali

    nafurahi sana namna chadema wanavyowapa changamoto ccm, ingekuwaje leo hii ccm ingekuwa na vyama vilivyokufa tayari cuf na nccr n.k, wangekuwa ccm hawana haja ya kupiga kampeni, hii ni nzuri kwa chadema kwa chaguzi zijazo. viongozi wa chadema waendelee na moyo huo huo ipo siku mta take off.
  12. K

    Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

    mambo yamenibana ningekuja kumuona hadija kopa
  13. K

    Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

    uwanja umejaa kwa sababu wana mbeya wanahamu ya kuona wasanii bureee bila kiingilio kama kina dokii na wengine, sidhani kama dhamira ya wengi ni kuudhuria sherehe za ccm.
Back
Top Bottom