Recent content by kiwa k khalidi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kumetokea nini hivi punde?

    Nyie ni nyumbu kweli kweli sasa wanashangilia munashidwaje kuwauliza,?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Tukiacha mambo ya ushabiki na kama katiba ingeluhusu naona mbowe ndoo anafaa jamaa huwa hatabiliki.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Mbowe kaamua kuinusulu ccm kwa kumleta lowassa.asiye weza kujenga hoja mtu Zaifu kimkakati.ccm ilitakiwa ikutane na slaa ndoo ingechambuliwa uchafu wake. Ndio maana watu wengine tunaamini mbowe ni ccm
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Asubili 2020 ajalibu tena
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa Kafulila, Ole Sendeka, Wenje na sakata la ESCROW Vs kurudi kwa Muhongo na Tibaijuka

    Sendeka ataludi kama mbunge wa kuteuliwa. Kwa kafulila Imekula kwake
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Sasa wewe ulitaka tumupigie kura fisadi lowassa. Fisadi limekatwa tu. Lingeuza nchi tu
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Hapo kwenye umoja wa kitaifa umekosea sana. Hapo ni kazi tu mambo ya umoja wa kitaifa Haiwezekani
  8. K

    JamiiForums Tanzania Alichinjwa ndani ya CCM, Watanzania nao inaonekana wamemchinja bila ya huruma, sasa anatapatapa

    Wana cdm wametulia wanatafakali yaliyo wakuta
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    Acha waingie barabarani wakutane na police . wengine tumesha ludi kutafuta liziki za family . wengi wetu tunaamini siasa hadi 2020 sasa hivi ni kazi tu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini ITV wanaegemea sana CHADEMA?

    Wewe subili tinga tinga lingie ikulu wote wanao sapot hilo fisadi lowassa na lowasa segerea inawahusu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    Cdm wamechanganyikiwa hawaamini kicho wakuta wanaona maluwe luwe Mliambiwa makomeo ni mziki kubwa mkalekata mtu mwenye madoa doa sasa yamewakuta
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia yateketea kwa moto

    Jamaa zetu wasiwe wameipiga kibiliti ili kumtoa kwenye game
  13. K

    JamiiForums Tanzania Sheria ya mita 200 inatekelezeka kweli?

    Hao ni vibaka tu acha wajifanye ngangali wapigwe risasi . hawana family na maisha yamewapiga kwahiyo wanatafuta jinsi ya kufa
  14. K

    JamiiForums Tanzania Chopa ya Livingstone Lusinde yapata hitilafu, yashindwa kuruka

    Acha roho mbaya mimi na wewe tuko njia moja.kumuombea mtu mabaya hiyo sio sawa .hii ni siasa tu baada ya uchaguzi hayo mambo ya kutompenda mtu kisa siasa haisaidii chochote
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ni bahati ya CCM kwa CHADEMA kuishiwa pumzi ya kuupinga ufisadi!

    Umewashitukia kweli Inaonekana kama feki
Back
Top Bottom