Recent content by Kiuti

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga Arusha

    Hallo, nyumba ipo karibu na matofali ya kuchoma, unabranch hapo (upande wa kushoto) unafika mahali wanapouzia maji kisha unaingia kushoto utaona nyumba yenye kigae chekundu - ndio nyumba yenyewe. Ukipata shida kufika hapo mpigie jirani yangu 0717216228 atakusaidia kuiona maana kwa sasa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Nyumba ya kupanga Arusha

    Ndugu jaribu hii: Kuna nyumba ya kupanga kwa Mworombo, Arusha (6km) kutoka City center. Ni nyumba yenye vyumba vitatu (3) Master moja+vyumba viwili vya kawaida na sebule kubwa sana. Ina jiko kubwa na uzio na usalama ni wa hali ya juu. Nyumba inapangishwa kwa Tshs 160,000/- tu kwa mwezi. Kodi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga Arusha

    Salamu nyingi wadau wa Jamii forums. Kuna nyumba ya kupanga kwa Mworombo, Arusha (6km) kutoka City center. Ni nyumba yenye vyumba vitatu (3) Master moja+vyumba viwili vya kawaida na sebule kubwa sana. Ina jiko kubwa na uzio na usalama ni wa hali ya juu. Nyumba inapangishwa kwa Tshs 160,000/-...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga Arusha

    Salamu nyingi wadau wa Jamii forums. Kuna nyumba ya kupanga kwa Mworombo, Arusha (6km) kutoka City center. Ni nyumba yenye vyumba vitatu (3) Master moja+vyumba viwili vya kawaida na sebule kubwa sana. Ina jiko kubwa na uzio na usalama ni wa hali ya juu. Nyumba inapangishwa kwa Tshs 200,000/- tu...
Back
Top Bottom