Mwisho wa yote ni uchaguzi mkuu,wananchi watajua wawekeze kwenye juice au mafuta na gas. Kwani yote ni yetu na siyo ya mtu banafsi. Kama mafuta na gas au vitalu vya madini havita mnufaisha mwananchi, mimi nasema! Heri vikae hivyohivyo mpaka tutakapo pata mtaji mkubwa(Sendeka hoyee)
Wewe unatakiwa ufanyiwe sala ya toba kwa kuungana na wezi wa hela ya umma.Au na wewe ni mmoja wao? Usitutoe kwenye umoja wetu wa tanzania, nyie ndio mnao hatarisha amani na utulivu na mshikamano wetu ( shindwa kwa jina la YESU)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.