Recent content by kiungo pundamilia

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mliooa wanawake wenye changamoto hii mnafanyaje?

    🙏🙏🙏
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mliooa wanawake wenye changamoto hii mnafanyaje?

    Sasa mkuu tufanyie chini?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mliooa wanawake wenye changamoto hii mnafanyaje?

    Mkuu sikuja kumsema mke wangu hapa kwenye kadamnasi Bali nimeleta changamoto yangu Kwa kutumia fake ID niweze kusaidika. Kwanza ninampenda Sana na nimeipokea hii changamoto na ndio maana nimeanzisha Uzi niweze kumsaidia. Shuka ziko pair nyingi Ila shida ni kwamba huwezi tunza shuka zilizolowana...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mliooa wanawake wenye changamoto hii mnafanyaje?

    S Mke wangu ni Mdigo kutoka Tanga
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mliooa wanawake wenye changamoto hii mnafanyaje?

    Ni aibu kwakweli
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mliooa wanawake wenye changamoto hii mnafanyaje?

    Sawa, napata wapi? Maduka ya magodoro? Ma hospitali?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mliooa wanawake wenye changamoto hii mnafanyaje?

    Sasa mkuu je watoto wakikua si watajua Hali hii? Na je binti wa kazi nae? Maana Naona ni Hali inayomfadhaisha mke wangu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mliooa wanawake wenye changamoto hii mnafanyaje?

    Acha masihara rais wa majobless
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mliooa wanawake wenye changamoto hii mnafanyaje?

    Kwanin mkuu?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mliooa wanawake wenye changamoto hii mnafanyaje?

    Wakuu hivi karibun Nimeanza maisha ya ndoa. Mwanamke wangu ni aina ya wale wanawake ambao akifika kileleni basi kitanda chote kinakuwa tepetepe(kinalowa). Tumekuwa tukitumia mashuka mengi kutandika kitandani kwa ajili ya kulinda godoro lakini naona kunakuwa na usumbufu mwingi wa kufua mashuka...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuishi na Mashabiki wa Simba inaitaji moyo sana

    Mimi huwa nawafananisha mashabiki wa Simba na madereva bodaboda
  12. K

    JamiiForums Tanzania Al Ahly Fans Tukutane Hapa

    Watapigwa paka wang'oe viti
  13. K

    JamiiForums Tanzania Endapo Simba ingempata kiongozi kama Eng Hersi, Leo hii ingekuwa ni bingwa wa Africa

    Timu imejaza viongozi wazee waliojichokea inapiga vipi hatua?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hii Rafu aliyomfanyia Sure boy Hakika KARMA haita mwacha salama

    Umepiga kwenye mshono
  15. K

    JamiiForums Tanzania Simba isipoachana na Robertinho basi ijiandae kuishia makundi tu klabu bingwa Afrika

    Huyu mabaga hafiki Dec atakuwa kashanyolewa
Back
Top Bottom