Kwa hii Rafu aliyomfanyia Sure boy Hakika KARMA haita mwacha salama

babu onyango

JF-Expert Member
Jan 12, 2023
328
813
Msimu ulioisha alimkanyaga teke la usoni kiungo wa Yanga Sure boy nusura amuuwe na refarii alimwangalia tu. Hata kamati ya nidhamu ya TFF nayo haikuto adhabu yoyote.

Tulipiga kelele sana achukuliwe hatua za kinidhamu ikiwemo kufungiwa ila haikusaidia kitu kwani aliendelea na uchezaji wake wa Kung Fu huku akiumiza wachezaji wa timu pinzani.

Sasa Mungu sio Athumani, Wacha Karma ichukue mkondo wake
View attachment 2758487
inonga-pic.jpg
 
Mbona ya kawaida sana ile aliyochezewa inonga je angevunjwa kama Marcelo alivyomvunja yule jamaa kungekalika kweli
 
Huyo jamaa anacheza kwa sifa sana. Just imagine nguvu alizotumia kuliga ule mpira alfu katwgeshewa njumu kmmk.
 
Msimu ulioisha alimkanyaga teke la usoni kiungo wa Yanga Sure boy nusura amuuwe na refarii alimwangalia tu. Hata kamati ya nidhamu ya TFF nayo haikuto adhabu yoyote.

Tulipiga kelele sana achukuliwe hatua za kinidhamu ikiwemo kufungiwa ila haikusaidia kitu kwani aliendelea na uchezaji wake wa Kung Fu huku akiumiza wachezaji wa timu pinzani.

Sasa Mungu sio Athumani, Wacha Karma ichukue mkondo wake
View attachment 2758487View attachment 2758488
Rafu mbaya sana hii ,atakuwa ni mcheza kung fu
 
Back
Top Bottom