Tunatoa shukrani zetu kwa niaba ya uongozi na bodi ya shule pia kamati,
kwa kupata walimu 5 wapya kutoka jamii forum na wapo kwa ajili ya mazungumzo maalumu.
Ni shule ya hadhi ilioko mkoani KAGERA.
Shule inadhaminiwa na wafadhili kutoka MAREKANI chicago.
Shule ina kidato cha kwanza mpaka sita.shule hii ina wanafunzi wapatao 560 .
Ina itaji walimu wenye diploma ya uhalimu kwa kufundisha na kuelewa na sio kukaririsha.
Shule hii ina mahabara kubwa...
Natafuta mchumba anaye weza kumudau kukaa nami.
Sifa zote za kuwa binti mzuri.si uzuri tu awe mzuri wa tabia na awe mwelewa wa mapenzi.
Endapo unajishuku nitafute tuwasiliane kupitia
facebook kwa jina natotumia hapo juu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.