Hivi karibuni, Serikali ya Marekani imeisitishia (blacklist) kampuni kubwa ya CHINA (Huawei) kununua bidhaa (electronic chips) zinazotengenezwa nchini Marekani. Huawei hutumia vifaa hivyo katika utengenezaji wa bidhaa zake za kielektroniki. Serikali ya Marekani inadai kwamba, kuendelea kuiuzia...
Kweli kabisa huyu jamaa ni Mzalendo wa kweli. Wachina siyo kabisa. Ni washenzi wanatumia fedha zao kupenyeza maslahi yao ya kiuchumi katika nchi mbalimbali.Wanataka bandari iwe yao, wafanye wanayotaka. Hakuna kitu kama hicho. Hatukubali kuuza nchi yetu eti kwasababu watu flani wana maslahi na...
Shida sana. Wakati mwingine watanzania wanatakiwa pia kuzingatia "credibility" ya mtu. Kuna watu wengine hutoa taarifa kwa manufaa binafsi ama kwa kujipatia tu umaarufu usio na tija.
Ndiyo shida ya watu wanaopenda umbea. Ni kama makinda ya ndege kila kitu kinachoingia mdomoni wanameza tu. Nashangaa anaposema eti huko aliko hakuna watu wenye uwezo wa kufanya video editing. Hii ni mitizamo yenye chembechembe flani za over confidence. Iwe kweli ama siyo kweli lakini hiyo...
Huo ni mtizamo wako tu ambao una ishara ya chuki. Taarifa unazosoma kwenye vyombo vya habari huelezea matukio yaliyokwisha kupita. Kwahiyo mtu anaweza kutoa taarifa yoyote wakati wowote kutokana na Mazingira flani kwa lengo la ama kufafanua jambo ama kutoa elimu ya jambo flani. Hizi siyo habari...
Kupitia teknolojia hii, sura ya mtu yeyote inaweza kupandikizwa kwenye video ya mtu mwingine kwa nia ovu (potofu).
Kutokana na tukio la hivi karibuni, ni vizuri tukatambua uwepo wa hii teknolojia, athari zake kwa jamii na nchi kwa ujumla. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama havina budi kuja na...
Hawa
Hawa viongozi wetu wa awamu hii ni pasua kichwa. Kila mmoja ana sharubu au mzizi wake anaosimamia. Kuna wa mjomba, wa shangazi, wa jirani, wa shemeji, wa nyumbani, wa shuleni basi ni vurugu tupu.
Kesi ya msingi ilikuwa ni kuharibu mali, baada ya tukio na mkurugenzi kupata taarifa kuwa kuna wananchi wameharibu mali ya mwekezaji, mkurugenzi akaja polisi kutoa taarifa, akaambiwa mlalamikaji aje kituoni akafungue kesi, mkurugenzi akaona anadharauliwa pia polisi wanamchelewesha, akachukua...
Nani kakwambia?. Kuna vitu viwili hapa huelewi ama unachanganya. Kuna swala la kusoma Kiingereza kama Lugha, na kiingereza kama lugha ya kufundishia. Haina shida kuifunza lugha ya kiingereza kama somo maana inatosha kwa maana ya kuwasiliana. Tunachosema hapa ni kwamba maarifa huwezi kuyapata...
Nikuulize swali?, wakati unasoma darasa la kwanza hiyo misamiati ulikuwa unaijua au umeijulia ukubwani?. Hata kwenye lugha ya kingereza hayo ni maneno mapya, yamekua kutokana na kukua kwa sayansi na teknolojia.
Wenye mitizamo hii akili zao zimeathiriwa na ukoloni. Ni watu wambao wamefungwa akili na ufahamu. Asikwambie mtu, lugha ya asili ni muhimu katika maendeleo, pia inaongeza usalama kwa nchi. Yaani nchi ikiamua kulifanyia kazi hili jambo naamini haitachukua miaka mingi, ndani ya miaka 20-50...
Hivi unaanzaje kuelewa jambo kwa lugha isiyo yako?, hizo ni ndoto. Huwezi kuniambia eti unaelewa zaidi kwa KIINGEREZA kuliko kwa KISWAHILI!, ndoto za mchana. Kutamka tu maneno ni ukakasi, ndio useme eti unaelewa jambo kwa urahisi zaidi kwa lugha ya kiingereza?, mbavu zangu!.
Wewe una mtizamo hafifu sana. Lugha ni kama kiumbe hai, hukua na hufa. Lugha isipotumiwa hufa, inapotumiwa hukua. Leo unadhani kiswahili hakina misamiati kwa kuwa wakati wewe unasoma hakukuwa na mfumo huo. Leo kukiwa na vitabu vya kiswahili kuanzia shule ya awali, mtoto anayeanza kujifunza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.