Recent content by Kitwa-Mulomoni

  1. K

    Hayati Magufuli alikuwa kiongozi mbaya; aliua mifumo ya utawala bora akawadanganya Watanzania na vitu vidogo kama madaraja, stendi, ndege n.k

    Umemsingizia, hujui unachotaka na unacho kitetea. JPM si ameisha kufa Sasa unayasema hayo Ili ajisahihishe au aache? Mbona miaka ya utawala wake hukuonyesha Kwa vitendo kwamba hukubaliani na anayo yafanya? Inawezekana wewe ni wale waliokuwa washauri wake wakuu!
  2. K

    Hayati Magufuli alikuwa kiongozi mbaya; aliua mifumo ya utawala bora akawadanganya Watanzania na vitu vidogo kama madaraja, stendi, ndege n.k

    Sasa unashauri tumfanye nini huyu Magufuli Ili asiendelee na hii tabia yake. Au aletwe kwanza mbele yako ajitetee (kusudi tufuate utawala bora na haki)! Unasemaje kuhusu hilo?
  3. K

    Tabora: Oparesheni 255 yakumbushia Ripoti ya CAG. Wananchi Wabubujikwa na Machozi

    Kweli nimejionea mwenyewe! Wote wanabubujikwa na machozi!
  4. K

    Marekani imetumia takribani Trilioni 15 kuokoa maisha ya Watanzania kwa miaka 20, Urusi imetumia kiasi gani?

    Enzi za utumwa, mtumwa asiye na akili za kumtosha, alikuwa na mawazo kwamba aliyemnunua ana haki naye! Na alikuwa anaeleza kuwa bwana wake katumia hela nyingi kumnunua! Hata alipo kuwa akiadhibiwa, alikuwa anafurahia adhabu, Kwa sababu anazihurumia zile gharama boss wake alizotumia kumpata! Wewe...
  5. K

    Wasomi wa Malawi waandika Kitabu kumhusu Magufuli

    Useme huna utaalam wa kuandika! Siyo Kila mmoja anaweza kuandika kitabu, na sisi tutakuelewa - sababu siyo Kwa kubwa JPM siyo ndugu yako!
  6. K

    Ikulu ya Chamwino: Nani hasa anastahili credits?

    Watanzania hawana shukrani! Hata Kiongozi wetu Raisi mustaafu Kikwete, katika hotuba yake wakati wa kufungua Ikulu - hakumtaja Dr Magufuli kwa jina lake! Aliishia kusema "awamu ya tano". Sijui anaogopa nini!
  7. K

    Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

    Akili ya maandazi na mkate - short term (Afadhali kila mmoja wetu apewe mkate, maandazi na vitumua anywee chai yaishe! Kwani sisi tuna mizigo ya kusafirisha SGR?) - SGR Kwani itaishia lini! Mimi hainihusu - Nina umeme wa solar bulb 2! Umeme Wa bwawa la Nyerere wote wa nini! Ndiyo mawazo yako mkuu!
  8. K

    Rais Hussein Mwinyi: Chanjo ya korona ipo pale pale, kama mtu hataki kuchanjwa hiyo ni juu yake

    Nidhamu ya woga! Asingediriki kuleta chanjo hiyo awamu ya 5 na hija hawakwenda!
  9. K

    Mzee Warioba: Sokoine alikuwa Mzalendo wa kweli na sijamuona wa kumfananisha naye

    A Alikuwa mzalendo haswa maana yeye, wana sema alikuwa ana suruali nne tu na shati kama 3 tu! Mzalendo haswa, wakasema pia alikuwa masikini na mtu wa kawaida! Kwamba alikuwa na ng'ombe zaidi ya 50,000! Na wanawake zaidi ya mmoja! Ila walisahau kwamba, maasai - utajiri wake na utajiri wa...
  10. K

    Dr. David Bell: Magufuli kukataa lock down nchini Tanzania kuliokoa maisha ya maelfu ya watu

    Ni kati ya wachache nchi nzima. Ana uelewa mdogo si wa kutolea mfano!
  11. K

    RC Rose: Mkoa wa Chato utakuwa na wilaya 5 Kakonko, Biharamulo, Ngara, Bukombe na Chato yenyewe

    Kama za Mkoa wa Mara zilivyokaliwa na wajaluo (Kenya) , Arusha wamasaai (Kenya) Mtwara na Lindi wamakonde (Nchumbiji) - Ruvuma wangoni na wayao (Malawi) - Kilimanjaro pia na Kagera upande wa mpakani na Uganda! Pia Mpanda,Katavi, Sumbawanga (Zambia) - Kigoma wamanyema (DRC). Kwa hiyo Usishangae...
  12. K

    Musukuma: Maprofesa wanatuchanganya; wakati wa Magufuli walisema hakuna Corona na wakati huu wa Samia wanasema tuchanjwe

    Hivi dada yako (dakitari), kweli hakujua kuhusu corona?! Ndiyo hayo hayo yanayo mshangaza Mh. Msukuma. Au dada yako alikuwa anahonga na kupewa maksi tu! Hivyo siyo kweli kwamba baba alimsomesha kwa gharama kubwa! Matokeo yake - ukipewa degree bila kufahamu kitu darasani, kitakacho kuua hutakijua!
  13. K

    Serikali ya Tanzania yakopa Dola Milioni 140 kujenga mradi wa kufua umeme wa Mto Malagarasi

    Hautoshi tunahitaji na nuclear ikiwezekana! Kusudi tuuze mpaka Africa ya kusini
Back
Top Bottom