Recent content by Kitumbua-Cha-200

  1. Kitumbua-Cha-200

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Sisi sote ni WA Tanzania
  2. Kitumbua-Cha-200

    JamiiForums Tanzania Je kuna athari yoyote katika Soko la ajira kwa mtu aliyepata Div 4 kisha akajiendeleza hadi chuo kikuu

    Eti Mdau... Kijana wa kidato Cha nne, ikiwa amepata ufahuru wa daraja la nne(4.30). Akaendelea na elimu ya juu (chuo) . Nakuweza kufahuru Kwa G.P.A nzuri ya 4 or 3. Je matokeo yake ya kidato Cha nne yanaweza kufanya asipate ajira Kwa upande wa CV?
  3. Kitumbua-Cha-200

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tiba ya ugonjwa huu kwenye uume

    Niko nimepata this infection but sijapata muwasho Wala kuumia. Nimetumia cream but bado haijasaidia ni mwezi sasa. Please msaada === Maoni ya mdau
Back
Top Bottom