Recent content by Kitumb

  1. K

    JamiiForums Tanzania Lissu: Poleni ila Amini Mahamba niko nae siku nzima kesho

    Du!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anachekesha kama si mtu wako wa karibu

    Hata mimi nawaza kwa sauti, kujiuliza mkwamo mkubwa unaotengenezwa. We need to do alot men
  3. K

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Wahudumu wa Usajili wa Majengo Muleba hatujalipwa malipo ya kazi tangu Juni 2025

    Hawa watu walipita huku wilayani kwetu wakitupiga mkwara kwamba nyumba isiyoandikishwa wamiliki watapokonywa na serikali. Na kwamba eti wanasajili kwa ajili ya kutupatia karatasi/ hati, tukilipia 130,000/-@. Kuuumbe walikuwa wanaumanisha nyumba zetu na TRA?????????
  4. K

    JamiiForums Tanzania DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu

    Huwa namwelewa huyu mkuu. I think he's pressing on something, he also has course
  5. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Je, kiwanda cha Maranile Group Ltd cha Misugusugu kipo juu ya sheria au kuna watu wamepigwa milungula? Hakikustahili kujengwa kilipo

    Jamii forums hamkusikia speech ya makamu mh. Nchimbi leo.? Tunaomba utuwekee hapa tumshangilie kwa vigelegeleeee
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga

    Mbona kila baada ya sentence kutukana mzee? Unaonekana una kiburi, na majivuno ya kudhulumu vya watu. Kumbuka ubaya woote utashughulikiwa wakati ukiwadia inshallah
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya laitaka Tume kufuta Ufadhili wa Mwaka 2026 kwa Tanzania

    Wananchi watakuondoa hatimaye
  8. K

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya laitaka Tume kufuta Ufadhili wa Mwaka 2026 kwa Tanzania

    Na hii ya kuteka watu, kuwauwa,kuwaonea, kuwafunga bure sidhani kama nao ni utanaduni wetu toka lini na iwapo umeandikwa katika katiba yetu ya 1977
  9. K

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya laitaka Tume kufuta Ufadhili wa Mwaka 2026 kwa Tanzania

    Wewe unadhani kwa nini hawapendi kulipa Kodi?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya laitaka Tume kufuta Ufadhili wa Mwaka 2026 kwa Tanzania

    Unataka kusema nini? Hivi ulihitimu darasa la pili wewe?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya laitaka Tume kufuta Ufadhili wa Mwaka 2026 kwa Tanzania

    Ushahidi kuhusu nini tena?
Back
Top Bottom