Tatizo uelewa wako ni mdogo sana nahisi hata darasani mwalimu wako alikua na kazi sana,tatizo lako unaacha hoja ya msingi unakimbilia richmond,umeshaambiwa mwakyembe alishatoa taarifa kuhusu upotevu huu wa makontena na taarifa akampelekea bosi wake ambae ni raisi,sasa baada ya hapo ulitakaje...
Hivi mmesoma shule gani jamani.hata kuchangamsha kichwa kidogo huwezi ,wapuuzi kama nyie mngetakiwa kuwa darasani sasahv.hv unashindwa kujiuliza kama tpa kulikua na makosa mbona hawajachukuliwa hatua.na pia unashindwa kujua namna tra inavyofanya kazi bandarini huu ni upuuzi mtupu ulio...
Tatizo mtoa mada uwezo wako mdogo sana lazima ujue namna tra na tpa zinavyo fanya kazi,kwa kukusaidia ni kwamba makontena yaliyo potea kwenye system za tpa yapo ila hayaonekani tra ,sasa haposita na mwakyembe wanaingiaje maana ulitakiwa uulize tra ambayo ipo chini ya wizara ya feza
Tatizo unauwelewa mdogo sana sijajua sababu wenda ni kiwango chako cha elimi,sasa ngoja nikufundishe ,duniani kote unapofanya manunuzi makubwa kama haya ya mabehewa ya tren au manunuzi ya ndege na vitu kam hvyo kitu cha kwanza kinacho angaliwa ni mkataba unasema nn baada ya manunuzi.tatizo sio...
We hujui kama mwakyembe ni mwanachama wa ccm,kwa hyo kwa mawazo yako ulitaka mwakyembe asiitetee ccm,edwad hata angebaki ccm mwakyembe angemkataa tu,na kwa ufisadi wa lowasa asingepita ccm,kwa hiyo ulitaka lowasa awe na zambi mbili ndio tu mwesabie zambe.lowasa alikua waziri mkuu na anajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.