kundi la waislamu wanaojiita itikadi kali wamevamia ukumbi wa upendo view ambapo kulikuwa na disko toto na kuanza kufanya fujo wakidai kuwa watu hawarusiwi kufanya bihashara ya disko katika sikukuu ya waisilamu kwani wanaharibu maana ya sikukuu hiyo takatifu; tangia juzi walitoa matangazo na...
mkuu hata mimi nilitaka kuk pm ila sina status ya five post ila nilitaka kupata range of price ya simu zao, kama itawezekana mwaga jamvini hapa ili tuone kama tunaweza kuchukulia huko
ukitaka kuheshimika hapa duniani lazima uwe na nguvu za nyuklia, sababu hiyo ndiyo inayomfanya mkorea azidi kuzidisha jitiada katika kutengeneza haya masiraha, ww siunaona pamoja na matendo yote hayo mmarekani anashindwa kumgusa huyu jamaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.