Recent content by Kitu2022

  1. K

    JamiiForums Tanzania Eeh Mungu, sijui kipi kinachofuata, natumaini ni chenye unafuu kidogo zaidi ya ugumu huu

    Muone mwanasikolojia wa afya ya akili mapema. Hii ni dalili mbaya sana ya tatizo la afya ya akili. Usilielie, wengi waliofanikiwa walikaza. Pambana!!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sura ya 4 ya andiko la Mpina nimelia kwa uchungu nchi inavyochezewa

    Uchambuzi wa Mpina unafact nyingi ambazo siyo za kupuuzia. Tunasubiria facts za upande wa pili!!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani

    Daaah, nimeumia sana kwa Ali Kamwe kujiuzulu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

    Tangazeni pia matumizi ya serikali ya kila mwezi.
Back
Top Bottom