Lakin hawa CCM bwana SURE wanaboa ila sema tu ni utajiri wa akili zisizochambua na kujua hatima ya maisha yao!!!Hebu tuwe wakeli kama kwel CCM itakuwepo madarakani miaka kumi ijayo Tanz itafananaje?
Ndg zangu tuko pamoja nami nimekuwepo mda si mrefu kwa hiyo kama vile bado mgeni sana hivyo tuelekezane wapi choo,bafu pamoja sehem mhim za kurefresh mind!!Ila nahisi hapa ndo nipopatafuta kitambo hata kabla ya akina macho manne japo anajifanya mjanja zaid yangu.
Jamani hao wenye hilo lichama la majambawazi nao bado tu hawajashiba waachie wenye huruma na utu kwa watanzania wenye utajiri wa dhiki na benki za umaskin???????????Jaman mpaka lini sasa??? Aaaaaahhhhh basi bwana!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.