Maisha bora bila "Mgomo"

Ilulu

Senior Member
Mar 22, 2008
161
31
Picture1400.jpg
 
wenyewe wako happy kabisa wala usiwaambie kuwa chao ndio kimewafiskisha hapo na wakija REDET kuwahoji wanakuambia ndio chama na Raisi anayewafaa
 
wenyewe wako happy kabisa wala usiwaambie kuwa chao ndio kimewafiskisha hapo na wakija REDET kuwahoji wanakuambia ndio chama na Raisi anayewafaa

Siku zote huwa nasema kuna Correlation kubwa kati ya umaskini na CCM. Masikini wakubwa ndiyo wapiga kura na mashabiki wakubwa wa CCM, Matajiri wakubwa ndiyo walioikamata CCM na Umaskini wa nchi hii umeletwa na CCM kwa siasa zao zisizo na dila wala mwelekeo na ufisadi. Walirithi dola toka kwa wakoloni lakini sasa wamekuwa wabaya kuliko wakoloni
 
Mh! Hivi hawa wanajua hata njii hii inakwendaje? mbona ni balaa hiyo jamani kha! Kwa kweli hata hao wanaohubiri maisha bora kwa kila mtanzani wakiona hii picha watakuwa wapole tu....
 
Kazi kwenu mnaodumisha chama chenu na fikra za mwenyekiti wenu
 
hii nnji bila kupigana discipline haitakuwepo! look at those developed countries and other countries which are taking off to take the pace to the most developed ones.
 
Kirefu cha MKUKUTA ni Mpango wa kuongeza umasikini na kupunguza utajiri Tanzania
 
But they are still smiling and happy thats all matters.... sometimes you have nice house nice car, eight telephone lines, friends, picnics and parties but you are still not happy and u don't want all of that but u want happiness....

Nyie mnaumiza vichwa vyenu na siasa wenzenu wala hawajali.... after all these politicians are liars and thieves thats why I never bother myself with their bullshits...
 
Jamani hao wenye hilo lichama la majambawazi nao bado tu hawajashiba waachie wenye huruma na utu kwa watanzania wenye utajiri wa dhiki na benki za umaskin???????????Jaman mpaka lini sasa??? Aaaaaahhhhh basi bwana!!!!
 
Ndg zangu tuko pamoja nami nimekuwepo mda si mrefu kwa hiyo kama vile bado mgeni sana hivyo tuelekezane wapi choo,bafu pamoja sehem mhim za kurefresh mind!!Ila nahisi hapa ndo nipopatafuta kitambo hata kabla ya akina macho manne japo anajifanya mjanja zaid yangu.
 
Lakin hawa CCM bwana SURE wanaboa ila sema tu ni utajiri wa akili zisizochambua na kujua hatima ya maisha yao!!!Hebu tuwe wakeli kama kwel CCM itakuwepo madarakani miaka kumi ijayo Tanz itafananaje?
 
Back
Top Bottom