Recent content by kitowowoti

 1. K

  Kesi ya Mbowe: umejifunza nini kipya?

  Nawaza hiki kifaa cha mahakamani kinachotumika na mawakili wa pande zote kinachoitwa"MAPINGAMiZI" kinaweza kutumika vibaya mahakamani na kikaharibu haki za watu,kitendo cha kukosea utaratibu,nukuu,mhusika kinaweza kumnyima haki aliye na haki yake.nafikiri haipendezi machoni pa Bwana.
 2. K

  Kurudisha mabinti waliopata mimba shuleni ni kunyoosha mikono juu na kulikabidhi taifa letu kwa wakoloni mambo leo kwa ajili ya mkopo wa bil 600

  Shida "alternatives' ,wale wanaosoma shule za serikali wengi ni watoto wa sisi walala hoi,ni wepesi kuiga kujaribu ya kusikia,rahisi kushawishika kwa vizawadi,nakumbuka enzi hizo zangu nikiwa la pili nilianza kusikia nakutaka kujaribu shida ikawa hakuna aliyekuwa haswa namna ya kuula mhogo ,na...
 3. K

  Rais Samia awapa shavu Wazanzibar: Ajira asilimia 21 za Muungano kuwa za Wazanzibar

  Shida ni tafsiri'enterpretation" Rais ni WA Jamhuri ya muungano,pia Makamo na Waziri Mkuu .sasa je Kuna Waziri wa serikali ya Jamhuri ya Tanzania bara,dhahiri hapana.nataka kuamini kuwa makubaliano yalilenga watumishi wa wizara na Taasisi zote zilizo chini ya serikali ya Tanzania...
 4. K

  Kuingia na note book Kizimbani haikuwa ishu. Jaji Alikuwa ameishaifunika akaendelea na mambo mengine. Kibatala atabwaga tena

  wewe tulia Sheria unaijua, anaweza kutupa,Kila kinachoandikwa kwenye mwenendo wa kesi hujadilwa tena ikiwa utakuwa na haja ya rufaa,hivi unaijua wanakaa majaji wanne na zaidi kwenye mahakama ya rufaa na maamuzi ni ya majority ?je wewe unajua hukumu ni "subjective" na ni lengo".
 5. K

  FY2021|22 Rais Samia anatoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

  Madeni zaidi watumishi Mungu amuongoze ayalipe yote pia,wengine wanadai miaka zaidi ya kumi, wengine walishafariki,wengine walihakikiwa mpaka madai Yao yakafutwa mbaya, wengine wamestaafu na hakuna wa kuyafuatilia haya kiroho sikivu. .
 6. K

  Moshi Mjini: Sanamu ya askari pale YMCA ni alama ya Historia gani?

  ni maajabu kama wao waliona msingi ukiwekwa,ukuta na Lisanamu likiwekwa pale miaka ya 1980,na Kisha wadondoshe. kaputula,he kwa wale wanaozaliwa mpaka wanajifia bila kufika shashiioni,ingekuwaje kwa mfano!
 7. K

  Machinga waanza kumlilia Hayati Magufuli

  tusichokijua,wenye wamachinga watakoma
 8. K

  Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

  Nimeona chapishi nyingi humu kana kwamba sentenzi zake kama haziko sawa.Hata chapisho hili nikama limeingiziwa maneno Ili mada isieleeeke
 9. K

  Serikali: Jeshi la Polisi kurejesha mfumo wa zamani wa vidhibiti mwendo kwenye mabasi ili kupunguza ajali

  Wakati wengine wakienda TEHAMA sisi tunarudi enzi ya macho kwa macho,labda wanajua wanachokifanya! By
 10. K

  #COVID19 Mbunge aomba pesa za COVID-19 zitumike kununua mahindi ya wakulima

  Bei elekezi haiwezi kufanya kazi kwenye dunia ya soko huria, mahindi ya brazili, mexico yanauzwa Bei ya chini mno. wafanyabisshara ea mazao na ziondolewe kwa mkulima. suala la kufanya matumizi mabaya (matumizi mabaya) ni kichekesho .serikali ni vizuri ikashauriwa kufanya mambo yake kulinganisha...
Top Bottom