What you think is really becomes your reality,. Kila mmoja na imani yake. Kwenye kila utakachokiamini basi utaletewa njia za kukupeleka huko kwenye hiyo imani yako. Ukiamini kwamba Real Estate investment hailipi uko sawa na atakayeamin Real estate inalipa naye yuko sawa. Kila mmoja atapata...
Kitendo cha kusema INATISHA tayari umeshajiongezea hofu , kitu ambacho si kizuri. Jitengenezee maneno yako binafsi ya kujiondolea HOFU ambayo utakuwa ukiyatamka daily na kuyatumia kila utakapo kutana ma mazingira ya kukutia hicu, utaina mambo yanabadilika. "Always what you think is realy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.