Ndugu zangu katika zunguka zunguka zangu nilikutana na kituko cha mwaka ambacho pomoja na kugurahisha ila kimetupaka matope vijana wa Tanzania na kutupa fedheha ya hali ya Juu.
Ni juzi jioni pale Ngurudoto kwenye ule mkutano wa vijana mwenyekiti wa UVCCM taifa alitugaragaza kabisa vijana wa...
DR CYRIL CHAMI AVURUGA MKUTANO WA SACCOS YA WAALIMU MOSHI VIJIJINI
Katika hali ambayo haikutarajiwa Juzi tarehe 28/3/2015 mbunge Wa Moshi vijijini mh Cryil chami kidogo angelisababisha mkutano Wa mwaka kwa saccos ya waalimu Moshi vijijini uvunjike.
Hali hiyo ilijitokeza Muda kidogo baada...
Unaweza kuamini kwamba toka mwaka 2010 chami alipochaguliwa kwa mara ya pili kuwa mwakilishi wa wananchi wa jimbo hili amewahi kuuliza sali bungeni mara mbili tu?
Swali la kwanza aliliuliza 9 April 2013 swali lilikuwa linauliza hivi.
"Je, Serikali itatekeleza lini ahadi ya kujenga kwa...
Tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana nchini linaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa kwa ujio wa mikopo yenye riba nafuu nchini. Mikopo hiyo ambayo itaanza kutolewa rasmi kwa awamu ya kwanza mwezi wa 12 mwaka huu itakuwa na masharti nafuu sana ikilinganishwa na aina nyingine za mikopo ambayo...
Chama cha mapinduzi kinatapatapa kila kukicha kuhakikisha kuwa kinalikomboa jimbo la Moshi mjini jambo ambalo ni sawa na ndoto za mchana kwani hawataweza kamwe kwa jinsi CHADEMA ilivyojiimarisha jimboni hapa. Kipindi hiki Chama cha mapinduzi kimemtuma kada wake kutoka daresalam anayefanya kazi...
Miaka kumi inamtosha sana watu wa moshi vijijini ni ngumu kuwaongoza miaka 15 apumzike tu na pia wanataka mtu anayeweza kuwa waziri huyu kashakosa sifa hakuna tena mchaga ambaye ni waziri
Mbunge wa moshi vijijini juzi aliumbuka kwenye mkutano aliowakutanisha makada mbalimbali wa chama cha mapinduzi kutoka kwenye matawi ya ccm ndani ya jimbo la moshi vijijini. Mkutano huo uliofanyikia YMCA mbunge chami alipandwa na gadhabu kali sana kiasi cha kushindwa kuendelea kuongea baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.