Kweli na wewe ni kati ya watu ambao umepewa jina na mzee mkapa, yani linakufaa sana, kazi ya kuwa rais siyo kukaguwa madaladala, hiyo kazi alishaifanya mwakyembe kitambo.
Vilevi mzee sitta katika bajeti yke alisema kuwa tatizo la mabeewa ni vipimo tu na vimesha rekebishwa na ndiyo maana bado tuna yapokea hapa nchini. Ndugu sema lingine labda unamashaka nalo na mtia nia kyembe:A S wink:.
Wewe wachaushambenga wewe?, najifunze kusoma data mbuulawe, wakati anaingia uchukuzi bandali ilikuwaje na anatoka ilikuwaje?. Huyu ni kiongozi anayetufaa kwa vitendo na kumaanisha na nimuadilifu.
:couch2: Kisheria na kanunu huyu mzee kajimaliza na anaendelea kujimaliza, kwani anachofanya sasa ni kampeni nasiyo kutangaza nia, chama katika fom za kutafu wadhamini kimeweka bayana kuwa mtia nia ni marufuku kufanya kampeni au kutumia mabango na vitu vingine vyovyote vinavyo ashiria matangazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.