Recent content by KITOMONDO

  1. KITOMONDO

    USHAHIDI: Wananchi wakataa vitisho vya mabomu, risasi za moto, mikutano ya CHADEMA

    Kuna nguvu ya ziada inayo tumika na hawa ndugu zetu,siyo siri tena.Why wakubalike kiasi hiki?
  2. KITOMONDO

    USHAHIDI: Wananchi wakataa vitisho vya mabomu, risasi za moto, mikutano ya CHADEMA

    Hivi hawa CHADEMA wanatumia mbinu gani hadi wanaweza kujaza umati mkubwa hivi wa watu? Are they FREEMASON? Nina pata shida kuamini kama hawa jamaa wanakubalika kiasi hiki,jana nilipita karibu na mkutano wao somewhere hadi mwili ukasisimka kwa jinsi walivyojaza umati mkubwa wa watu.
  3. KITOMONDO

    Hofu imewapata waumini wa KKKT Kijitonyama

    Ulitaka aweke kwenye jukwaa lipi? Coz humu hakuna Jukwaa la Dini so sidhani kama kakosea kuweka hiyo habari humu
  4. KITOMONDO

    Hivi 'chopa' ya CHADEMA inatumika Arusha na Moshi pekee?

    Mkuu Ritz Acha kujishusha hadhi,kweli na wewe una amini kuwa chopa isipoenda sehemu watu wa hilo eneo ambamo chopa haijaenda hawata kichagua hicho chama? Are u sure?
  5. KITOMONDO

    Hivi 'chopa' ya CHADEMA inatumika Arusha na Moshi pekee?

    Waacheni CHADEMA na chopa zao,turudi kwenye chama chetu tukijenge,sisi tupo huku JF tuna jidanganya kujaza threads zenye propaganda chafu za kuwapondea hao jamaa ambazo hazina uwezo wa kumbadilisha Mtanzania anaye ipenda CHADEMA kuhamia CCM. Mimi nadhani ndugu zangu wana CCM tujikite na...
  6. KITOMONDO

    Hivi 'chopa' ya CHADEMA inatumika Arusha na Moshi pekee?

    Haujaeleweka hapo kwenye red
  7. KITOMONDO

    Hivi 'chopa' ya CHADEMA inatumika Arusha na Moshi pekee?

    So unawapa ushauri gani hao wanao pelekwa pelekwa?
  8. KITOMONDO

    Hivi 'chopa' ya CHADEMA inatumika Arusha na Moshi pekee?

    Ur thinking capacity is below the normal
  9. KITOMONDO

    Hivi 'chopa' ya CHADEMA inatumika Arusha na Moshi pekee?

    Mkuu ONE TWO,huyu jamaa ni janga,anajifanya much know eti akijidai anaichafua CHADEMA kumbe anaipaisha kwa kuionyesha jamii kuwa kuna baadhi yetu sisi wana CCM ni mambulula kutokana na hoja za kitoto za huyu jamaa,sijui hata yukoje
  10. KITOMONDO

    Hivi 'chopa' ya CHADEMA inatumika Arusha na Moshi pekee?

    Chopa ya CHADEMA ina kuhusu nini? Wewe kula kukicha unawaza CHADEMA,Mbowe,Slaa,hivi hauna kitu chochote cha maendeleo utakacho kisema kwa manufaa ya Taifa letu na chama chetu kwa ujumla? Unadhani kuna mtu atafuata au kuamini huu utumbo wako unao uandika kila siku? Nina amini CCM hatuna vilaza...
  11. KITOMONDO

    Chuo kikuu Arusha na Tumaini Makumila

    Makumira ki mazingira ni pazuri,ila sijui kuhusu content ya material wanayo deliver
  12. KITOMONDO

    hostel za udom!!

    Sh 500 kwa siku
  13. KITOMONDO

    Kwa muktadha huu: Dr Slaa ikulu hapamfai!

    Una kingine cha kuwashauri CHADEMA labda? Kama ni hilo tu umesikika
Back
Top Bottom