Huyo Renatus Mkinga, Kumbe baada ya kumegewa cake ya nchi nae kaenda kupiga, du kweli uzalendo wa nchi hii labda uanzie chekechea..
Mishipa ilikuwa inamsimama balaa wakati wa kujenga hoja kumbe yote mipango tuu
Mbowe ni Kamanda asiye na Battalion kwa sasa, Siasa zake za 2010 zilijengwa kwenye Msingi Imara ndani ya Mioyo ya Watanzania wa Kada zote,
Baada ya Sayansi ya Siasa kubadilika, Mbowe bado ameendelea kutumia mbinu zile zile katika Mazingira tofauti,
Ushawishi wake unapungua Siku hadi siku...
Kuna issue ya Wakati na Bahati hapa, sii kila kitu lazima kiwe na tafsiri sahihi ya kisheria, hiyo ni zamu yako kwa wakati tulionao, imeambatana na bahati, so waache wachume, nawe yako ikifika kutakuwa na mfumo mwingine wa ulaji
Sisi ambao tunatumia hii mitandao ndo tunafahamu hivyo,
Majority ambao kimsingi ndo watanzania wa kawaida hawawezi kuelewa mizaniavya ubaya wa kiasi hicho unaouelezea kwa Mwendazake JPM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.