Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 729
- 2,153
Duh body ina wazee 100% waliochoka mwili na roho kweli kwa halii tutafika kweli?
Unawaza kama mimi. Kinachobadilishwa mafisadi tu. Badala ya fisadi A anawekwa fisadi B. Mfumo wa uteuzi na utendaji kazi Tanzania unaacha loopholes nyingi sana za upigaji. Bila kufumua system yote na kuifanya ''ufusadi proof'' kwa kadiri inavyowezekana ni kazi bure. Sehemu kama mashirika na taasisi za umma tubadilishe mfumo kabisa. Kwa mfano hawa wanaoitwa mwenyekiti na wajumbe wa bodi ni wa kuondoa na kuweka mfumo wa aina nyingine kwani wao ni moja ya machaka ya upigaji.
Huyo Renatus Mkinga, Kumbe baada ya kumegewa cake ya nchi nae kaenda kupiga, du kweli uzalendo wa nchi hii labda uanzie chekechea..Huko Tasac si ndio kuna yule mzee alikuaga anahojiwa kule channel 10 akimtukana Lowassa balaa.
Kama dishi lake limeyumba hivi.
Ya Good mashirika mengi viongozi wake walijificha kwenye kichaka Cha utii,huku wakipiga dili, na kufanya KAZI KWA matakwa ya state piga chini mh SSH, pamoja na ukali wa mwendazake but wizi ulikua mkubwa just kumpa au kumuhabudu king they was safe wakati KAZI haziendi thanks mama
Mzee Mkinga ni mjanja mjanja Sana na porojo imekaa mdomoni.Hapo ukute wajumbe wamesonea History and Literature,hasa huyo mzee Mkinga anaongea hatari pamoja na huyo ustaadh😂😂
Kazi siyo kuwa imeanza baali KAZI INAENDELEA....!Kazi imeanza
Aisee acha mzee pesa tamuKipindi cha nyuma alikuwa anaongea sana
Akatulizwa na kijinafasi,akatulia
Ova
Posta imejaa mizee tu
🤣🤣🤣nimechekaaaa anaitendea haki tasniaNilishasema katika vitu Mama hajaniangusha, amerithi kutoka kwa mtangulizi wake ipasavyo ni hii tengua tengua na utumbuaji. Anaitendea haki hii tasnia
Huyo Captain Mussa Mandia ni baharia na ana Masters kutoka World Maritime University. Huyu mzee ni mkongwe alikuwepo tangu Sumatra akiwa kama mkurugenzi wa Marine Safety and Security.Hapo ukute wajumbe wamesonea History and Literature,hasa huyo mzee Mkinga anaongea hatari pamoja na huyo ustaadh😂😂
Dissertation za uzeeni nazo kazi ndugu! Anawaza pesa ya kustaafu na posho za vikao vya bodi bhaasi. Ubunifu tumewaachia SIDOHuyo Captain Mussa Mandia ni baharia na ana Masters kutoka World Maritime University. Huyu mzee ni mkongwe alikuwepo tangu Sumatra akiwa kama mkurugenzi wa Marine Safety and Security.
Disertation yake alipokuwa anafanya Masters huko Sweden.
Alitakiwa yeye kwenye body ndio awe mwongozo kwa wakina Mzee Mkinga wajanja wa town.
🤣🤣🤣nimechekaaaa anaitendea haki tasnia
Source : mwananchi digitalSection 7(1)(a) of the Tanzania Shipping Agencies Act of 2017 gives exclusive mandate to TASAC Matangazo |Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania