Recent content by Kitintigiri

  1. Kitintigiri

    JamiiForums Tanzania Kagera: Familia yadai ndugu yao kuuawa, Polisi wakanusha

    Hajagongwa,aligongwaje wakati pikipiki yake ni nzima na imefichwa?
  2. Kitintigiri

    JamiiForums Tanzania Kagera: Familia yadai ndugu yao kuuawa, Polisi wakanusha

    Polisi wanadanganya. Pikipiki ya marehemu ilikutwa imefichwa porini zaidi ya mita 400 kutoka eneo la ajali ikiwa nzima kabisa bila alama zozote za kuhusika na ajali. Marehemu alikutwa amekalishwa pembezoni mwa barabara huku katikati ya barabara kukiwa na michirizi ya damu nyingi na vipande vya...
  3. Kitintigiri

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kero ya mlolongo wa kodi Tazania hii hapa!

    Nadhani sasa hoja yangu imeanza kueleweka,au haijaeleweka?
  4. Kitintigiri

    JamiiForums Tanzania SUKARI: Wazalishaji waitaka Serikali ipandishe KODI kwa sukari inayotoka nje ya nchi

    :majani7::majani7::majani7:Umeongea vema lakini si kiuchambuzi,swala la sukari limekaa kisiasa na kiufisadi pia.Kumbuka wakifunga viwanda unapoteza ajira ngapi za waajiriwa wa viwanda hivyo lakini pia wakulima wa miwa.Mfano rahisi nikupe wa kiwanda kimoja tu cha Kagera Sugar ambapo tani elfu...
  5. Kitintigiri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The ghost of Kenya's 2013 election that will not go away!

    Umeongea vizuri sana mwanzo,but mwishoni mmmmmmmmmmmmmmh! Tanzania kuwapiku wakenya ktk utalii na siasa za kimataifa? KWA LIPI HASA?
  6. Kitintigiri

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kero ya mlolongo wa kodi Tazania hii hapa!

    Bajeti ya Tanzania 2013/2014 ya trillion 18 ya mwaka huu iliyopitishwa hivi karibuni imeendelea kusababisha umasikini na kero kubwa kwa watanzania kwa mlolongo wa ongezeko la kodi kadhaa ikiwemo kodi mpya ya laini za simu. Pamoja na kupitishwa kwa bajeti hiyo,bado ukamilifu wake utategemea pesa...
Back
Top Bottom