Recent content by Kithure

  1. K

    KERO Inaingia wiki ya tatu sasa wakazi wa Kimara hawajui kitu kinachoitwa maji Meneja wa DAWASA kazi imekushinda, ondoka ofisini

    kibaha maili moja hatuyajui maji kqbisa,yanafananaje wanetu? hafu kale ka CS kwa pr ni hatari
  2. K

    JamiiForums Usiku wa manane

    Nisaidieni mchongo/kazi wakuu
  3. K

    Naombeni kazi, sijabobea kwenye kazi yoyote inayohusu vyeti 100%

    Nipo kibaha,mwanaume 27YRS Naombeni connection ya kazi yoyote niweze kuishi mjini wakuu,sijabobea kwenye kazi yoyote inayohusu vyeti 100% ila nina soft skills (driving,basic computer skills etc) na nina nguvu na akili timamu. Katika harakati za kutoka magetoni nimetoka mkoani kuja mjini...
Back
Top Bottom