Recent content by kithumn

  1. K

    msaada wa sheria plz

    Nilikua na kesi ya madai mahakama ya mwanzo ,nilimshitaki msimamizi wa mirathi kwa kuuza kiwanja cha mirathi,ila yeye akamwambia hakimu kuwa alishafanya mgawanyo wakati sio kweli,akaambiwa apeleke inventory na mashaidi,ila akaamua kufile revision mahaka ya wilaya ya ilala,anacho kisema wilayani...
  2. K

    msaada wa sheria plz

    Ninakesi ya madai iko mahakama ya wilaya ilala,msimamizi wa mirathi ameuza kiwanja cha mirathi,baada ya kupeleka malalamiko mahakani anasema alishafanya mgawo wakati sio kweli,inventory anasema cop kapoteza na fail alilofungulia mirathi halopatikaniki mahakamani,naomba mnisaidie je baada ya...
  3. K

    Msaada wa shelia plz

    Naomba mnisaidie tena,Matrimonial house inaweza kugawika?,na je watoto wana haki katika hiyo nyumba?
  4. K

    Msaada wa shelia plz

    Shukrani mkuu,naomba nisaidie jibu.
  5. K

    Msaada wa shelia plz

    Ndugu wanasheria naomba kujulishwa maana ya Matrimonial house.
  6. K

    Msahada wa kisheria plz.

    Habari waheshimiwa,ninashauri linaloendelea mahakama ya mwanzo buguruni kuhusiana na mirathi,msimamizi wangu wa mirathi anauza mali za mirathi bila kugawa,amekana shitaka na ameiambia mahakama kua alishafanya ugawaji wa mirathi hiyo,lakini sio kweli,naombeni mnisaidie ni utaratibu gani kisheria...
  7. K

    Msahada wa kisheria plz.

    Nakushuru sana mkuu kwa ufafanuzi wako wa kutosha hakika umanifunulia mambo mengi sana.Nakuomba tena unisaidie hili,hadi sasa ameshauza viwanja viwili bila maelezo yoyote,je ni utaratibu upi kisheria unaopaswa kufuatwa katika uuzwaji wa mali za mirathi?,napenda kujua kama yupo sahihi katika kuza...
  8. K

    Msahada wa kisheria plz.

    Nitashukuru mkuu
  9. K

    Msahada wa kisheria plz.

    Familia yetu inawatoto watatu ambao tunatambulika na ukoo kutokana na utambulisho wa kimila(wachaga),Baba yetu mzazi ameshafariki mwaka 2007 na ametuacha na mama wa kambo ambaye alifunganae ndoa lakini hajazaa nae na wala hana mtoto(mama),Mama yetu huyu wa kambo ndio tuliemteua kua msimamizi wa...
  10. K

    Hii ndio Kauli ya Nape kuhusu mauaji ya padri huko Zanzibar, inatia kichefuchefu

    hiyo ndio akili mbovu ya machichiem,chama hakikuzwi kwa propaganda za kipuzi kama hizo,kwanza hawo ndio waliotuletea udini TZ.
  11. K

    Elimu ya Mnyika

    Hello wanaforum
Back
Top Bottom