Recent content by KITHOJO

  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Umri wangu ni miaka 32, natafuta mke wa kuoa mwenye umri kati ya miaka 21 hadi 25 awe mcha Mungu, awe na adabu njema pia awe mtulivu. Nina uhitaji kweli kweli. Kwa yule atakayekuwa tayari tuwasiliane kupitia amosimwanza@yahoo.com
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nimepotelewa na vyeti vyangu, Naweza kupata vingine?

    jamani kuna cheti cha form 4 original nimekiokota cha ndgu Andrew H Lyimo amesoma Arusha, pamoja na cheti cha kuzaliwa na leaving na cheti cha darasa la saba, vyote ni original. Nilivyopeleka polisiCENTRAL MOSHI wakanambia sasa watammpataje na hakuna namna ya mawasiliano yoyote. Wakaniambia...
  3. K

    JamiiForums Tanzania John Komba atishia kuingia msituni endapo wananchi wataamua Serikali tatu

    Komba akili mende. hiyo kauli angeitoa mbowe, slaa, maalim seif au lisu mambo yangekuwa mazito, m/mwenyekiti anacikia!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli CCM itakuja kubanduka, (kung'oka, Kunyofoka, kukwanyuka, kuondoka) Madarakani?

    Wanajamii nawaulzeni, hv ni kwamba CCM itatawala milele au unadhan kitachukua serikali chama kingine kipindi gani? ...
Back
Top Bottom