Recent content by KITAU TRANSPORT AND GPS

  1. KITAU TRANSPORT AND GPS

    Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    G.P.S (KING'AMUZI) CHA MAGARI PIKIPIKI Habari wana Jamii Forum Ninatangaza kampuni yenu ya KITAU MOTOR GPS ( @https://web.facebook.com/KITAUMOTOR/?modal=admin_todo_tour ) inayojihusisha na biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu. Kama mnavofahamu...
  2. KITAU TRANSPORT AND GPS

    Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    G.P.S (KING'AMUZI) CHA MAGARI PIKIPIKI Habari wana Jamii Forum Ninatangaza kampuni yenu ya KITAU MOTOR GPS ( @https://web.facebook.com/KITAUMOTOR/?modal=admin_todo_tour ) inayojihusisha na biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu. Kama mnavofahamu...
  3. KITAU TRANSPORT AND GPS

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    G.P.S (KING'AMUZI) CHA MAGARI PIKIPIKI Habari wana Jamii Forum Ninatangaza kampuni yenu ya KITAU MOTOR GPS ( @https://web.facebook.com/KITAUMOTOR/?modal=admin_todo_tour ) inayojihusisha na biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu. Kama mnavofahamu...
  4. KITAU TRANSPORT AND GPS

    Wamiliki/waendesha pikipiki za abiria tukutane hapa tupeane ushauri, tujue changamoto na jinsi ya kumudu biashara hii

    Karibu sana Uko Mkoa gani? Kwa mikoani kuna taratibu tofauti kidogo. Kama utafunga kwenye gari, Badala ya elfu 30 ya mwezi wa kwanza, wa mikoani wanalipia elfu 60 pamoja na gharama ya kutuma mikoani. Baada ya kifaa kufika na kufungwa kwenye gari, hawatolipia kwa miezi miwili inayofuata...
  5. KITAU TRANSPORT AND GPS

    Wamiliki/waendesha pikipiki za abiria tukutane hapa tupeane ushauri, tujue changamoto na jinsi ya kumudu biashara hii

    Habari Wadau wa Jamii Forum, Nimeanzisha biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu. Kama mnavofahamu, biashara katika sector ya usafiri imepamba moto nchini.Lakini palipo na biashara hapakosi changamoto. Wizi wa vyombo vya usafiri kama Pikipiki, Bajaji...
  6. KITAU TRANSPORT AND GPS

    SOFTWARE Funga GPS kwenye magari, pikipiki yako na komesha wizi

    GPS zetu zinauwezo wa kutrack chombo chochote cha nchi kavu na majini. Pale popote penye Network ya simu tunaweza operate bila shida. Niandikie kwenye facebook KITAU MOTOR GPS au kwenye whatsapp number +255 754 711 783
  7. KITAU TRANSPORT AND GPS

    SOFTWARE Funga GPS kwenye magari, pikipiki yako na komesha wizi

    Naomba uni inbox number yako nikupigie.
  8. KITAU TRANSPORT AND GPS

    SOFTWARE Funga GPS kwenye magari, pikipiki yako na komesha wizi

    GPS zetu zote zina battery. Inayoweza kukaa kwa masaa zaidi ya 24. Taarifa ikitufikia mapema tunaweza fuatilia na kukipata chombo mapema
  9. KITAU TRANSPORT AND GPS

    SOFTWARE Funga GPS kwenye magari, pikipiki yako na komesha wizi

    GPS zetu zina battery inayoweza kukaa zaidi ya masaa 24. Ndani ya masaa 24 bada gps itakuwa hewana na tutaweza mpata kama taarifa itatoka mapema. Naomba number yako tuongee vizuri
  10. KITAU TRANSPORT AND GPS

    SOFTWARE Funga GPS kwenye magari, pikipiki yako na komesha wizi

    Tunashirikiana na polisi kila hatua mpaka dakika ya mwisho kuhakikisha chombo kinapatika. Ikumbukwe hii ni Huduma ya Ulinzi. Hatusemi vyote vilivyoibiwa vitapatikana lakini tunasema asilimia 99% tutakipata chombo kilichoibiwa kama taarifa itatolewa mapema iwezekanavyo. Tukirudi kwenye swali...
  11. KITAU TRANSPORT AND GPS

    SOFTWARE Funga GPS kwenye magari, pikipiki yako na komesha wizi

    Kama amekuibia Dar es Salaam, Kabla hajatoka nje ya Mji aliopo tutakuwa tumeisha mpata. Kwa mfano ulioutoa, kupeleka chombo chochote milima ya udzungwa itachukua muda. Kwa kushiriana na jeshi la polisi, tunauwezo wa kufanya tracking na tutampata kabla signal haijapotea.
  12. KITAU TRANSPORT AND GPS

    SOFTWARE Funga GPS kwenye magari, pikipiki yako na komesha wizi

    Kwa mwezi wa kwanza utalipa double the price. Pikipiki bajaji elfu 20 Magari Elfu 30. Hii ni kwaajili ya usajili. Kuanzia mwezi wa pili utaendelea kulipia 10/15 kwa mwezi. Hakutakuwa na malipo mengine yoyote.
  13. KITAU TRANSPORT AND GPS

    SOFTWARE Funga GPS kwenye magari, pikipiki yako na komesha wizi

    Unapatikana sehemu gani? Kwa Dar es Salaam popote tunakuja siku hiyo hiyo. KKwa mikoani tutatafuta utaratibu mwingine. Hauhitaji chochote zaidi yamkataba tutakaotia sign. Malipo yanafanyika kwa njia ya simu na yatafanyika tu pale tutakapomaliza kukufungia na ukaridhika kinafanyakazi.
Back
Top Bottom