Mzee kinana yuko sahihi kabisa, watanzania tulipitia hali ngumu sana miaka mitano iliyopita, sasa nchi imetulia, biashara zimerudi kwenye hadhi yake, maisha ya watu yanaendelea kama kawaida kila mwenye kupenda kufanya kazi anafanya kazi yake, wale wavivu wasiotaka kufanya kazi ndio wataendelea...