Recent content by KITAHYA

  1. K

    Meya wa Bukoba atangaza kujiuzulu baada ya Ripoti ya CAG kusoma leo!

    Kama ni kweli basi Bukoba imekwisha!
  2. K

    Petition ya kuomba Kagasheki arudishwe kazini tayari iko mtandaoni

    Naomba nirudie tena, Kagasheki si lolote wala chochote. Tabia ya mtu uonekana kwanza nyumbani kwake. Kagasheki hawezi kuwa mwema kitaifa wakati jimboni kwake kafanya DHAMBI AMBAYO WANABUKOBA MANISPAA WANAMSUBIRI ILI WAMWADHIBU. Kagasheki mtu aliyekuwa anatamba kwa kuwalipa madiwani mfilisi ili...
  3. K

    ...Balozi Khamis Kagasheki katika hili umeonewa hatia yako siioni bado

    kUPEWA WIZARA NYINGINE ILI IWEJE? HIVI HUU UMASKINI UTATUFIKISHA WAPI? NADHANI WEWE NI MMOJA WA MADIWANI WANAOPEWA POSHO ILI WASUSIE VIKAO MAANA KWA MTU MWENYE AKIRI TIMAMU HAWEZI KULETA UTETEZI DHAIFU VILE.KAGASHEKI MELIKOROGA WACHA ALINYWE. ALIINGIA BUKOBA KIMYAKIMYA KWA GARI TOFAUTI NA...
  4. K

    Tuwe wakweli, tatizo la nchi hii ni Mawaziri au Rais wa nchi?

    Kwetu Bukoba kuna nyumba za asili ambazo kwa sasa zinaelekea kutoweka kabisa yaani MSONGE(kwa Kihaya Mushonge) nyumba hii huwa na nguzo moja kubwa katikati(ENGAMBILO). Nguzo hii ndiyo ushikilia nyumba zingine za pembeni huwa zinaitegemea hiyo ya katikati. Ukiona nyumba inaanza kuelekea upande...
  5. K

    Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    HAKIKA WEWE NI SPIDER hivi kwati ya watu wa kupewa kazi na Lowassa yumo? Fisadi kivile, mhujumu wa nchi mtumia fedha haramu kusaka urais. Hacha kabisa hata kama unakula kwake ni bora wakati mwingine uone aibu.
  6. K

    ...Balozi Khamis Kagasheki katika hili umeonewa hatia yako siioni bado

    Hayo ni maoni yako NKURUKUMBI lakini kwa mtizamo mwingine ni kuwa Bwana Kagasheki amevuna alichopanda. Mtu huyu ni mbinafsi vya hatari. Kwanza huo uwanja wa ndege ni wazi ulikuwa ujengwe OMUKAJUNGUTI kwa ubinafsi wake ukajengwa njini Bukoba, ona jinsi ulivyovuruga mpango wa mji, pili angalia...
  7. K

    Chadema Mara Wavuna Millioni 19 na Gari Moja Kwenye Harambee Musoma Mjini.

    Mimi ni Mwana CCM ila naipenda CDM ile mbaya, ningependa nichangie bila kufahamika ni nani maana sina uhakika kama watu wa type ya Zito wameisha huko wasije wakaunguza picha. Najua mtaniambia toka CCM jiunge CDM napenda hivyo ila kwa shughuli zangu tena za halali Kuihama CCM ni sawa na kujitia...
  8. K

    Taarifa ya CAG kuhusu manispaa ya Bukoba kuna mwenye tetesi jamani?

    Wana jamvi, naomba kama kuna aliye na tetesi kuhusu taarifa ya CAG kwa ukaguzi maalum alioufanya Manispaa ya Bukoba atutonye maana muda tuliotegemea taarifa umepita lakini taarifa haitoki.
  9. K

    Nguvu ya mafisadi na majangili yadhihiri

    Umenena kweli. Pesa ni Mwanaharamu. Kwa kutumia pesa huyu huyu Hamis Kagasheki amefanikiwa kusambaratisha mipango ya kuendeleza manispaa ya Bukoba kwa kuwahonga madiwani shilingi laki moja kila kinapopangwa kikao cha baraza la madiwani kiasi ambacho ni mara mbili ya kiasi wanachopaswa kulipwa...
  10. K

    Madiwani 8 kutoka mkoa wa Kagera kwa mara ya pili tena wako njiani kuondoka CCM

    Wakiondoka CCM watoswe kabisa, wanajifanya kupinga ufisadi kumbe ni fedha za Kagasheki ndizo zinawatesa. CHADEMA msipokee watu kama hawa watakuwa kama SHIBUDA. Watu wazima kama Mzee Ngalinda, Mzee Rwangusa kuchezewa kama watoto kwa kulambishwa pipi ni aibu. Ona watu wasomi kama BLANDUS LEO na...
  11. K

    Tanzania invyoinufaisha uganda kiuchumi

    Sijui kama na kwa majirani wengine ndivyo ilivyo, ila mie kwa hapa niaona niitumie Uganda Kama kielelezo maana mimi ni Mkazi wa Kagera Mkoa unapakana na Nchi ya Uganda. Nimeleta uzi huu kwa kuanagalia mazao mawili muhimu ya Kahawa na Samaki. Kahawa ya Kagera karibu asilimia 30 inavuka mpaka na...
  12. K

    GE2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

    Edward ngoyaye lowassa namfananisha na jamaa mmoja aliyekuwa na ukimwi huku akiwa na utajiri wa kutosha. Jamaa huyu baada ya kujijua kuwa ameathirika, alijitahidi kutumia nguvu za kifedha na kuwahonga wanawake wengi huku akiwaambukiza ukimwi. Walipokuja kushtuka walikuwa tayari ameisha...
  13. K

    Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    kWA HAPO MHESHIMIWA NAOMBA UFAFANUZI WAKO. Hivi watu wengi kuhudhuria kwa ajili ya kuiona timu kubwa kama SIMBA SC kunauhusiano gani na kazi nzuri inayoendelea ndani ya wilaya na taifa kwa ujumla? Mhe. mwigulu kwa hili umejionyesha kuwa wewe ni dhaifu kwa maana huwezi kuitisha mkutano ukapata...
  14. K

    CCM Kagera yawafukuza madiwani wake 8

    HELLO DUDUS, Hii inaingia akilini kabisa, la msingi kabisa ni bora uingie kiundani ujue nini hasa chanzo cha mgogoro. Masuala ya ujenzi wa soko na Standi ya mabasi yalipitishwa na Baraza la madiwani manispaa ya Bukoba, ambaye hakuwepo ni Mbunge Kagasheki tu jambo ambalo halizuii maamuzi...
  15. K

    Hamis Kagasheki amethibitisha kuwa cheo bila elimu si lolote

    Ndugu yangu Lizaboni, sijui baada ya yaliyotokea Bukoba unalolingine la kusema. Haya yote ni matunda ya ujinga wa Kagasheki, mtu mzima lakini ovyo kabisa. Amewaponza wabeba mikoba wake kwa ujinga wao. Nadhani siku nyingine utakubaliana na mimi.
Back
Top Bottom