Asante kwa habari hii ya ki uchunguzi...Lakini tatizo ni la kiufundi zaidi kuliko la kijajusi kama makala hii ilivyo elezea.
Kwa wenye ufahamu wa elimu ya uhandisi hasa “Controls and Automation” wanaweza kulielewa tatizo hili kwa undani zaidi.
Kumbuka Hii ni teknologia ambayo Boeing wanajaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.