Recent content by KISUNZU YP

  1. KISUNZU YP

    JamiiForums Tanzania Fursa fursa fursa ni mashine ya kupukuchua na kusaga karanga

    Hata hii ni digital
  2. KISUNZU YP

    JamiiForums Tanzania MASHINE YA UMEME YA KUSAGA KARANGA

    Jipatie mashine ya kupukuchua na kusaga karanga inayotumia umeme kidogo. Ni kwa wajasiriamali wanaopenda kupanua fursa zao , hii mashine inauwezo wa kukupukuchulia karanga zilizokaangwa na kusaga karanga laini sana. Piga 0744200166
  3. KISUNZU YP

    JamiiForums Tanzania Fursa fursa fursa ni mashine ya kupukuchua na kusaga karanga

    Jipatie mashine ya kupukuchua na kusaga karanga inayotumia umeme kidogo. Ni kwa wajasiriamali wanaopenda kupanua fursa zao , hii mashine inauwezo wa kukupukuchulia karanga zilizokaangwa na kusaga karanga laini sana. Piga 0744200166
  4. KISUNZU YP

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Muuzaji wa Duka la Dawa Muhimu (DLDM)

    Habari za muda huu wadau. Anatafutwa mtu wa kuuza duka la dawa muhimu. SIFA Awe na ADO Awe mwaminifu Awe mwadilifu Awe na ujuzi wa kutoa dawa kwa usahihi Sehemu ya kazi ni Sikonge - Tabora Siku za kazi ni Jumapili - Ijumaa Mawasiliano 0620860602 0621601703 0744200166 0764601703
  5. KISUNZU YP

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa mhudumu wa mgahawa

  6. KISUNZU YP

    JamiiForums Tanzania Dada anatafuta kazi ya mgahawani au dukani

    Km anaweza kukaa kijijini nataka nifungue mgahawa, aje Tabora
  7. KISUNZU YP

    JamiiForums Tanzania Mlioomba kazi shirika la Church World Service (CWS) tukutane hapa

    Nicheck 0620860602
  8. KISUNZU YP

    JamiiForums Tanzania Mlioomba kazi shirika la Church World Service (CWS) tukutane hapa

    Habari wadau, Mimi ni miongoni mwa waliotupia kwenye nafasi zilizotangazwa za Caseworker n.k Naomba tupeane mbinu.
  9. KISUNZU YP

    JamiiForums Tanzania MWENYE UELEWA NA SHIRIKA LA CWS

    Habari ndugu zangu, kama kichwa cha habari hapo juu naomba anayefahamu vzur shirika hili anifafanulie maana limetangaza baadhi ya post nataka nitupie. Nijue interview yao wanataka nini? Benefits( salary) Allowances N.k kama kuna mtu ameshapita au ana ndugu anifumbue macho
  10. KISUNZU YP

    JamiiForums Tanzania First round selection

    Ingia kwenye akaunti uliyoombea
  11. KISUNZU YP

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya MD ya UDOM, KCMC na St. Francis ?

    Nenda KCMC
  12. KISUNZU YP

    JamiiForums Tanzania First round selection

    Unaruhusiwa
  13. KISUNZU YP

    JamiiForums Tanzania First round selection

    Tayari
  14. KISUNZU YP

    JamiiForums Tanzania First round selection

    Wale wa UDOM PDF Hiyo hapo Multiple na Single Selection
Back
Top Bottom