Nashukuru sana kwa ushaur wako hakika nimeusoma law makini sana maana nimekuwa njia panda kile nilichotegemea kufanya naona kama kinakuwa na changamoto sana kuliko nilivyofikiria mwanzo
Asante kwa ushauri ndugu hakika mawazo yako ntayafanyia kazi japo kuna neno moja umelitumia la kusema nina kiherehere usijal kuhusu ilo pia iyo ni njia ya kufikisha ujumbe ili uwe na uzito fulani
Asante kwa ushauri ndugu je kwanini usinipe idea ya kufanya chochote ambacho unaona kinaweza kunikomboa kuliko kurudisha pesa je kama nikiendelea kuogopa angali bado kijana je siku watoto wangu wakishindwa kwenda shule kwa sababu ya kipato kidogo ninachokitegemea je hapo ntakuwa nimejikomboa?
Nashukuru kwa ushauri wako ngoja namimi niendelee kupambanua kupitia jukwaa ili maana nimeisha jifunza mengi naona kuna Fulsa nyingi lazima ntaona zile ambazo naweza kupambana nazo kutokana na kazi ninayoifanya na mda ntakaokuwa na upata ila nimejifunza kitu kikubwa kumbe ukitaka kufanikiwa...
Hapana ndugu kwa sahivi swala la ujenzi tunataka kuliweka pembeni tutakachozalisha kutokana na biashara tunaweza kukitumia kujengea uku mtaji ukiwa unaendelea kupumua maana kwenye ujenzi siku zote ni kutoa tu wala sio kuingiza ndugu ni sawa na mshahara wa sisi waajiriwa tunatoa tu hakuna backup
Ndugu mimi niko Dar na sina uzoefu na mwanza pia kwa pesa niliyo nayo ni ndogo kununua ilo gari may be kununua kwa mtu na ni kitu katu ambacho siwezi kufanya
Asante sana kwa mawazo yako naendelea kujifunza mengi kupitia jukwaa ili japo kuna wengine wananibeza na kuona kama sina akili .Ndugu zangu Tambua sisi binadamu tumezidiana uelewa wa mambo ata mimi ukija katika upande wangu wa kazi basi najua kila kitu mpka nisipokuwepo kazini dhairi ofisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.