Recent content by kisukekaya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe kudai Magufuli anacheza ngoma ya CHADEMA ni dalili ya kuishiwa kisiasa?

    Kwa kitu chochote kama hukipendi si rahisi kukiandika vizuri kwa hiyo wachangiaji so wakuwashagaa kwa vile hawakuwa na kazi ndiyo maana walicoment hiyo mada
  2. K

    JamiiForums Tanzania TBC 1 warusha harusi LIVE. Waziri Nape acharuka, awataka watoe maelezo ya kina

    Tatizo la tbc wapo kisiasa ccm zaidi haina watazamaji na hawawezi kubadilika
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni aibu sana kuishabikia CHADEMA siku hizi?

    Wameacha vipi wakati rais anaitekeleza sasa unataka wasimamie vipi?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Jenister Mhagama atembelea maeneo ya mafuriko Dar, mkandarasi kikaangoni

    Mkuu wa wilaya ana nafasi gani katika timbwili hili maana asiwe shijaa wa kutoa amri tu wakati wilaya imeoza kwa ufisadi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete kumrithi Ban Ki-Moon UN?

    Majanga
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kesi zilizowahi kujipatia umaarufu mkubwa Duniani

    Kesi ya wakuu wa polisi Mwanza kuhusu kuteswa kwa watuhumiwa Kigoto Mwanza miaka ya 70 na kesi ya kwanza ya uhaini iliyowahusisha Bibi Titi na Maichael Kamaliza miaka ya 69
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dhamana ya akina Masamaki wa TRA ni bilioni sita

    Magufuli mwisho wake ndiyo huo atafute gia nyingine hapo naona kabisa hakuna kesi kwa walivyoshupalia suala hilo kwa macho tu mbona ni kosa la uhujumu uchumi jiulize kwa nini iwe jinai ya kawaida tu kuna wakubwa wapo nyuma yake hapo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa we ni nani nchi hii mpaka unagusa maisha ya watu kiasi hiki?

    Ukiona hivyo wanajuta na waliyemchagua sasa ndo wakubali ni ileile
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tamko: CHADEMA yalaani kukamatwa kwa Mbunge wa Ubungo Kubenea

    Kama aliweza kumchapa makofi mzee Waryoba babu yake ni mzima kweli huyo? Tunyamaze asije toa amri tukamatwe maana dira ya uongozi wake ndiyo hiyo
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    Kinachompa shida huyu kijana wilayani kwake hivi sasa yupo peke yake wilaya kaigawa upinzani maana yake nini kiuongozi hatoshi ndiyo hayo anayofanya sasa hivi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kubenea apandishwa Mahakamani leo

    Makonda Kinondoni hana wa kufanya naye kazi ndiyo maana wanataka kulazimisha meya atoke kwao ni mkiwa mpeni pole kwa anayoyafanya
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mishahara Jeshini, inatolewa kwa kuangalia umri wa kazi au Cheo cha Askari?

    Nawashangaa woteliojadili mada daima utamu wa ngoma ingia uicheze yotenayojadili sijaona mantiki yake wewe mwalimu au daktari fundi magari atake kujua mshahara wake unamhusu?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Mwenye uhakika na taarifa hizi ni wakurugenzi wa sehemu husika
  14. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya usafi wa tar 9-12-2015 kuna hatari ya Tz nzima kukumbwa na kipindupindu

    Mkuu wa mkoa kupitia ITV jana anawaomba wana dar usafi ufanyike kila mwezi na aliahidi kuondoa ombaomba zoezi hilo lilifanyika? Ndiyo tuelewe uongozi nchi hii hatuna unazinduka mmoja wao akielekeza ikiisha wanakwenda kulala
  15. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Jangwani, Dar: Mkutano wa kuhitimisha Kampeni za mgombea Urais wa CCM, Dr. Magufuli

    Kulazimisha ishindi inaonekana kuna ulinzi wanaoutaka ubakie ikulu
Back
Top Bottom