Wadau hili la okwi kurudi simba limekaaje? sijaelewa mimi..! kwani mkataba wake na yanga ulikuaje? kama sikosei amecheza kama mechi 4 za ligi! WADAU HEBU NIJUZENI...!
Habari waungwana! ndugu yangu ana degree ambayo si ya education, ila anataka kusoma diploma ya education vipi inakubalika? Hana uwezo wa kifedha wa kusoma postgraduate!
Acha kupayuka! taja kabila lako nawe tulijue kwani linaweza likawa na mila mbovu kuliko hayo makabila ulioyataja! mf. wazaramo hawakeketi na labda kabila lenu wanakeketa, sasa linganisha hapo! MNAPENDA KUWASEMA VIBAYA WAZARAMO WAKATI MMEWAFUATA WENYEWE !
Ukitazama historia viwango vilivyokuwa vikitumiwa na baraza la mitihani kipindi cha nyuma Vilitumika kwa muda mrefu. Viwango hivi viliwanyima wanafunzi wengi kuendelea na masomo ya advance, hivyo basi mabadiliko ya sasa tutaona vijana wengi wakipata fursa ya kuendelea na masomo. Mfumo wa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.