Recent content by kisokola2

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hilary Aeshi apokelewa Bungeni kama shujaa

    kazi hipo kweli kweli, wanasumbawanga ndo wanajua kilichofanyika, na ebu fanyeni utafiti mutaona mugawanyiko uliopo sumbawanga baada ya matokea kutangazwa kushinda huyu bwana, pia baada ya kumpatia ushindi baada ya kurudishiwa na mahakama ushindi. jamani wananchi siku hizi wanaelewa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Idara ya uhamiaji, kitengo cha passport: Huu ni utaratibu wenu au mnatengeneza mazingira ya Rushwa?

    nijuavyo mimi maombi yakitoka ubalozini na baada ya pasipoti kuchapwa upelekwa na idara ya uhamiaji wizara ya mambo ya nje ambao ndio wenye dhamana ya kuzituma huko kwa wahusika, kingine cha kukumbuka ni kwamba maombi hayatumwi balozini kila siku ni mpaka ziwe nyingi kidogo ili kuepusha gharama...
Back
Top Bottom