Recent content by Kisoda2

  1. Kisoda2

    JamiiForums Tanzania Kwanini TUCTA wako kimya kuhusu Mafao na fao la kujitoa?

    Kazi ya TUCTA ni kuimba mapambio tu!!
  2. Kisoda2

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lazaro Nyalandu vs Ramadhani Ighondu kinyang'anyiro cha kuwania Ubunge jimbo la Singida Kaskazini

    Kuna connection yeyote na kurudi kwa TL, naye Frenki kuja endeleza kazi nyumbani? Swali tu
  3. Kisoda2

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni kwanini gari hupoteza nguvu? Je, unawezaje kutatua tatizo hili?

    Unapatikana wapi mkuu nikuibukie. Huwezi pitwa na bajaji halafu ukasema nami gari yangu inakimbia!!
  4. Kisoda2

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Land Rover Discovery 2 TD5

    Asante.
  5. Kisoda2

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni kwanini gari hupoteza nguvu? Je, unawezaje kutatua tatizo hili?

    Naombeni kujua shida nini, gari kama hiyo inapoteza nguvu. ukiwa kwenye mwendo ghafla unakutana na hali ya gari kukosa nguvu mfano wa kuzibwa pumzi au wewe unakanyaga mafuta na mwingine anakanyaga break. naomba kujua inasababishwa na nini na utatuzi wake ni nini? Gari ni Nissan HardBody Engine...
  6. Kisoda2

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Land Rover Discovery 2 TD5

    Je, engine za TDI zenye uhakika zinapatikana maeneo gani hapa DAR, maana wajanja wamekuwa wengi.
  7. Kisoda2

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

    mwana wa Tanzania, Kuna anayeteseka?
  8. Kisoda2

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM Zanzibar kupeleka hoja ya kuzuia wanaohamia kwenye vyama vya siasa kutogombea uongozi hadi watimize miaka miwili

    Hivi Update ya hii kitu mwenye nayo atujue imefikia wapi. Watu tugawane Visiwa!!
  9. Kisoda2

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe ajivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga CCM

    Kujitambua ndio TATIZO hapa!!
  10. Kisoda2

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe ajivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga CCM

    Tuanzie hapo kwanza!
  11. Kisoda2

    JamiiForums Tanzania Watu wanasema mimi ni nani? Swali alilouliza Yesu linalofungua ubongo wa mwanadamu kujitambua

    Mkuu hili bandiko limekaa vyema. Kujitambua ni jambo jema sana katika maisha haya tunayoishi. Niongezee kidogo. MIT. 1:7 SUV Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu. SUV: Swahili Union Version kwa lugha ile ya Bibi inasema hivi. Proverbs 1:7 King James...
Back
Top Bottom