jaman samahan mie nataka kununua smart phone ambay itanisaidia kupata material mbalimbali ili niweze kujisomea na kupata idea ya kujibu mwaswal, sasa sijui ni simu ya aina gani na ukubwa gani itanfaa? natanguliza shukran kwako, AHSANTE.
Habari Wadau Umndan, kwa wal wote mnaoend speacial dp ukiona kun sehem inakutatiza katk ujazaj wa form ya regstation, ach waz ukifk pal utapat maelekez ukiw pale, pia katk ulipaj wa fee kam usha omb mkopo buc we nenda na pay slip ya direct cost na udoso. lakn kwa w ambay hukufankiwa kuomb mkopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.