Recent content by kisingy

  1. K

    Mabwe Tumaini girls high shool

    Ukikwama nijuze.
  2. K

    Mabwe Tumaini girls high shool

    Shule ipo kata ya mabwepande. Ukitoka Mfano Makumbusho kituo cha basi panda gari zimeandikwa makumbusho mabwepande zinaishia mabwepande mwisho.then chukua pikipiki ni 1000 tu , nauli, ukipanda gari za bunju pia unaweza shuka bunju B , then ukapnda gari zinazoingia huko mabwepande. Ni shule mpya...
  3. K

    Kwa wajuzi nifafanulieni hili

    Nilipiga nae picha mmoja wa makomandoo hao.hawakuwa wanapepesa macho sana.
  4. K

    Barbershop ni kama madanguro

    Takwimu za ukimwi nafikiri mikoa inayoongoza ni Iringa na Njombe na sio Dar
  5. K

    Kwanini walimu ni too much?

    Mheshimu mwalimu
  6. K

    Kwanini walimu ni too much?

    Nadhani shida ni kuwa kazi yake haina mapato ya ziada, hata anaowahudumia huwa hawatoi mrejesho kama zilivyo kazi nyingine, Daktari akikuhudumia vyema unafungua wallet kumshukuru, na kwingine, shukrani ya mwalimu ni kutungiwa jina la ziada na wanafunzi, faida nyingine hawazeeki haraka.
  7. K

    Tuliowahi kupambana na vichaa tuelezane ilikuwaje!

    Najaribu kuwakumbuka vichaa kadhaa, miaka ya 94 hivi nikiwa shule ya msingi wanginyi kule Lupembe, kulikuwa na kichaa kuna wakati akija shule wanafunzi wanakimbizana na walimu wanajifungia ofisini, na alikuwa anakuja mara kwa mara, nilikuwa namwogopa sana. Pia miaka ya 98 mjini TUNDUMA...
  8. K

    Maongezi vijana wa Tanzania; 96% ni pumba

    Vijana wanatakwimu za kutosha za bei za wachezaji na mishahara yao, Ila kujua nini kinasoko hata hawana habari
  9. K

    Maongezi vijana wa Tanzania; 96% ni pumba

    Kuna shida kubwa mtu anaakili ya kuvukia barabarani tu. Hawezi kujiongeza
  10. K

    Maongezi vijana wa Tanzania; 96% ni pumba

    Jioni watu wanagombea kwenye mwendokasi apate siti achati au acheki picha za ngono, Wengine wanakomaa kwenye siti za wajawazito,,ili tu akae aanze soga za mpira na ngono
  11. K

    Maongezi vijana wa Tanzania; 96% ni pumba

    Hayo ndio wanayo mengi kwenye simu zao. Kijana anakuja kuomba kazi muda wote anachati tu,wakati mwingine unajaribu kumpa hints za ofisini ,anaongea huku anajibu sms zake za whatsup, Zero concentration Unaenda kwenye interview umebeba simu mbili huku unachat kila dakika
  12. K

    Maongezi vijana wa Tanzania; 96% ni pumba

    Hizo stori za mpira,movie za kikorea,betting,wanamuziki wa ulaya na nk Ni vitu vinavyofanya na wanachuo zaidi kuliko watu wengine wengi. Hao division zero wengi wamejikita kwenye shughuli zao za kubangaiza. Tukatae tukubali hao waliopata divion one kawangalie huko vyuo vikuu na milegezo...
  13. K

    Nikiwa njiani toka Dodoma

    Wadau ukiwa wilayani chamwino njiani kuelekea dodoma unakutana na maua ya asili meupe yameota pembezoni mwa barabara kwa wingi sana,hivi haya yana matumizi gani? Kama bado hatujagundua hatuwezi kuyatafutia matumizi? Yawezekana kuwa Mungu kayafanya yaote huko bila kuwa na matumizi?
Back
Top Bottom