Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA.
Leo tarehe 29 Mei, 2014 Msemaji wa Kambi ya Upinzani kuhusu Habari, Michezo, Vijana na Utamaduni amenituhumu kuhusika na kinachoitwa ufisadi katika Shirika la TANAPA na NSSF.
Nasikitika kwamba katika hali...
chadema yaingia kwenye hasara kubwa sababu ya mgogoro waliopika dhidi ya Zitto,chama kimekaa na kimetambua athari iliyokikumba dhidi ya mgogoro huo na kuamua kuchukua uamuzi wa kuanza ujenzi wa chama upya kwa kutumia mamilioni ya fedha.Chama kitatumia chopa tatu ambayo moja kukodi kwa saa 1 ni...
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa temeke bw. Yona amepigwa na kuumizwa vibaya Leo usiku na kutupwa maeneo ya Ununio.
Yona amekuwa ni akipinga vikali maamuzi ya kamati kuu CHADEMA kuwavua uanachama Dkt Kitila Mkumbo, Samson Mwigamba na Zitto Kabwe katika sakata linaloendelea CHADEMA.
Huyu ni...
Chadema watinga na mawakili watatu: Peter Kibatala, Tundu Lissu na John Mallya. Zitto ameendelea kutetewa na wakili msomi Albert Msando. Hata hivyo mpk sasa mawakili wa upande wa CDM wanaonekana kuzidiwa hoja na wakili Msando. Jaji ameahirisha kwa muda mfupi akisubiri maelezo ya akina Lissu...
"USAHIHI UPO HIVI.
Zitto hajakwenda Mahakani kuzuia ubunge wake wala kuzuia kuvuliwa uanachama wake.
Zitto amekwenda mahakamani kuizuia kamati kuu kumjadili mpaka hapo litakapoitishwa baraza kuu la chama, Tayari kamati kuu wameshamtia hatiani Zitto kwa makosa hayo hayo na kumvua nafasi zake zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.