Recent content by kisi guy

  1. K

    Ukilewa sifa sana mwishowe unaanza kuropoka mambo yasiyo na mantiki kabisa

    unajitahidi kuanzisha kuanzisha nyuzi nyingi ila inakupasa ujifunze kuandika kimantiki, kwani mfululizo wa mawazo unakosekana.
  2. K

    Simuelewiii huyu kaka

    Tusiwe watumwa wa utandawazi, na pia uungwana ni kutambua utofauti baina ya watu: ukilijua hilo halikupi tabu. Na zaidi ya yote upendo haupimwi kwa kigezo kimoja tu cha mawasiliano ya mara kwa mara.
Back
Top Bottom