Recent content by KISHUKO

  1. K

    JamiiForums Tanzania Global education link LMT

    mass communication nashauri usome china au india CANADA Ni kuanzia dola 14000 ...kwa india ni kuanzia dola 1500 na china NA CHINA ni dola 3000 kwa mwaka hio ni tuition fee budgeted for 1 year KARIBU.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Global education link LMT

    kuanzia dola 3000 kwa mwaka unapata chuo mkuu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Global education link LMT

    Habari wana janvi. kwa jina naitwa RICCO BAKARI ni marketing officer wa Global education link inayojihusisha na kuwasaidia wanafunzi kutimiza ndoto zao za kusoma Abroad kwa kuwataftia vyuo katika nchi ambayo mwanafunzi anaitaji kwenda kusoma kwa level ya DIPLOMA, DEGREE, MASTERS NA PHD...
  4. K

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUJUZWA KUHUSU EWURA

    Habarri wana janvi, nilikua naomba kufahamu kama kuna yeyote alieitwa interview EWURA nafasi zilizo tangazwa november ...naomba kuwasilisha
  5. K

    JamiiForums Tanzania Vacancies

    sory mkuu just jocking... kuchapa ni sawa na kuandika kwa mkono ni sawa maana hawaja sema utumie nini... wengne wanapendelea kuandika kwa kigizo kua muandiko ukiwa mzuri ni ishara ya kua smart... ila pia waweza andikiwa... kwa mimi naomba kazi ya compliance officer nitachapa barua kwa upande...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Vacancies

    kwa miguu mkuu
  7. K

    JamiiForums Tanzania EWURA bado hawajaita shortlisted candidate for interview??

    tupo tunapiga kazi mkuu
  8. K

    JamiiForums Tanzania KUJITOLEA SERIKALINI

    walijua wew mwiz i nin?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina cheti cha procument and supply

    Dogo nakushauri endelea kupiga kitabu.... piga diploma ukimaliza ndio mishe za kazi zianze... procurement ajira nying zinaanzia Diploma
Back
Top Bottom