Recent content by kishuga

  1. K

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    Mambo yako bambam unajifunza huku unaburudika
  2. K

    Je, Ibrahim Bacca wa Yanga FC ni mwanajeshi? Majukumu yake Jeshini anatekeleza wakati gani

    Kuna yule Refa mshika kibendera anaitwa Komba kwenye ligi kuu Bongo.. yeye ni captain wa jeshi la polisi na kuna muda yuko bize kabisa na majukumu ya kimpira zaid. Nadhan kuna namna wanapewa ruhusa bila kuathiri kazi zao walizoajiriwa kwenye usalama.
  3. K

    Majaliwa Jackson ameajiriwa wapi na kitengo kipi?

    Niliona taarifa ya kumaliza mafunzo yake ameajiriwa kitengo cha jeshi la uokozi baharini. Habari nakumbuka ilikuwa inaeleza hivo
  4. K

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Movie ya leo ndefu sana na imeishia pazuri.. binafsi sikudai let me wait til next week.
  5. K

    Ndoa ni fursa nzuri

    Ngoja waje hapa wapinga ndoa. Ila kiukweli Ndoa ni baraka hili nimeliona kwa wazazi wangu na maisha yao.
  6. K

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hatimae Maguire hajatoa boko... nilikuwa nadhan muda wowote game itaharibikia njiani, huchelewi kupigiwa simu za kuharibu shughuli. Hapo sasa mzee endeleza burudan kwa huyu mtoto mzuri na hakikisha kila unapomla unaelezea tukio zima mwanzo mwisho...hahaaa. Soon utamilikishwa moja ya mradi wake...
  7. K

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Iryn alijinunisha kumbe kusudi. Ila hiyo system ya kila mtu awe bize na life yake muwe serious na kazi ni suala la muda tu.
  8. K

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    MR Insider fanya utue episode moja basi saa mbili usiku mbali sana weekend leo unawez jikuta umefika kidimbwi kurud saa 7 usiku( JOKE). Ila arosto ya weekend inanambia uweke episode moja.
  9. K

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kwa mazungumzo yako na Iryn anaonesha yuko so stressed hasa na wewe kwa kile umemfanyia kwa Muajemi na kwa jinsi alivofall kwako. Hapo inabidi mzee baba ukae chini utafute solution
  10. K

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mr Insider weka kitu bhana tushazoea saa 1 usiku na saa 4 usiku.
  11. K

    Nimempambania kapata kazi, salary ni 1.5m gross kaikataa kisa kapangiwa kwenda mkoani Mbeya

    Mimi tu hapa na kumaliza degree yangu natamani nipate hata walau kazi ya Laki Tano Mungu hajanijaalia kuipata zaid ya kujikita kazi ambazo si rasmi kwa wahindi kama kibarua. Huyo ndugu amefanya nipate uchungu sana.
  12. K

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hapo najua gari hautaweza kudrive.. hahaaa Nguvu zote kwisha. Sasa dhumuni la Iryn kukwambia njoo ndani alafu ndo akamhug jamaa ni nini
  13. K

    Mahari kubwa yamkosesha mke

    Ila kweli usemacho 20 ndogo sana labda 50. Ila hapo jamaa inaonekana kwenda ukweni tu laki 5 wengine hiyo ndo kianzio cha mahali baada ya hapo maisha mengine yanaendelea
  14. K

    Mahari kubwa yamkosesha mke

    Hivi kikawaida mshenga akipeleka barua ukweni huwa inabidi kuwe na kiasi kikubwa hivo cha pesa au inategemea na tamaduni na jamii ya watu fulani, naona hapo pesa nyingi mno imepelekwa kabla hata ya mahali kutajwa. Au pia inategemea na dini. Maana upande wetu waislamu barua ni elfu 20 tu au...
Back
Top Bottom