yes ni kweli kabisa unapozungumzia computer studies vs programming ni vitu viwili tofauti
i) programming inahitaji skill nyingi sana za mtu binafsi
-kutokata tamaa
-kutokuwa na tamaa(yani haujamaliza hiki unaanza hiki)
-internet(mtandao) mfano mzuri kuna kampuni furan nafanya nalo kazi yani...
nakubaliana na wewe hakika msingi hatuna wengi wetu tunaanza kuizingatia programming baada ya kufika chuo au baada kumuona mtu alietoka chuo
mfano mimi msingi wangu niliupata baada ya mtalii kuniambia kwanini usifunze coding you will make money hapo ndo nikaanza lakini baadae yeye kwenye...
ok thank kwa reply yako yani ipo ivi unapozungumizia programming ni general kweli na mm lengo langu ni ugeneral
1. kinapozungumziwa kitu yani ni janga au tatizo kama hili la coding sio kwamba hakuna watu ila hawatoshelezi mfano mimi nimejaribu kufanya research chache japo zinauzito nimeenda...
ni kweli lakini kwa mimi ninavyoona kwenye vyuo vyetu wakufunzi wengi walisoma elimu ya computer miaka iyo lakini pia waliosoma miaka hii ya saivi hawapo vizuri kwenye coding
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.