Umaskini wa baba yako na ukoo wako unakusumbua kuanza kuongelea maisha ya watu. Km si umaskini wa kulambalamba hao unaofikiri wanakufaa unakusumbua nini? hizo data ulizonazo ulizipata wapi? ama ni magezeti ya kwenu ya udaku na hao panya wanaomwogopa Lowasa. Nani unafikiri si fisadi kwa hao...
Kiukweli mwenyewe siipendi serikali tatu wala mbili, kwa mawazo yangu ninafikiri serikali moja ndio dawa. kero nyingi zinasababishwa na wazanzibari wenyewe. wanafikiri wanauzalendo sana na mkoa wa zanzibar kuliko watu wa nchi ya Tanganyika. kwa kweli hoja yao ni dhaifu. wametumia fursa ya...
Critical thinker hatuanywagi viroba bt tunaongozwa na facts. nyie ndio wanywa viroba mnaongozwa na mapinduziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
una mwongelea Baghressa kuwa anlipa kodi, kama unauchungu na ni Mzanzibari si ungemzuia? hiyo siyo hoja maana hata wewe, mdogo wako, kaka yako, mtoto wako, na hata mke wote mnalipa kodi. au haujasoma hata commerce form two? udhamani wa arhdi ya Tanganyika mnayoishi hailinganishwa na kodi ya...
kwa hiyo umeona tu unafaidi umeme? hicho kitu kidogo sana. hawa wazanzibari walijenga bara wana haki ya kufanya hivyo kama siyo kigezo tu cha neno muungano? wanalima bara, wameajiria bara, wanakula bara, wanasoma bara na bila kubaguliwa kama ninyi mlivyowabagua watanganyika. hao wazanzibari...
leo mnang'anga'nia kuuvunja muungano, hakika mtawakumbuka watanganyika. kila kitu mnakipata bara na wala wabara hawalalamiki kwa lolote. leo nyie mtanganyika hawezi kuishi zanzibar kama mtanzania, but wazanzibari mkija bara mnajivunia mpo Tanzania. shame upon you people. kila kitu manalalamika...
Nimesikitika sana leo ndugu zangu nilipopita mitaa fulani ya hapa mji wetu wa kitalii Arusha, na kukutana na washikaji wakibadilishana mawazo kwa suala zima la posho ya bunge maalum la katiba. kilichonishangaza zaidi ni kumkuta huyu kaka akiwakusanya wasomi na kumwaga sera huku watu wote...
Naitwa Angelina Abel idara ya secondary. natokea h/mashauri ya Butihama. natafuta mwalimu wa kubadilishana kutoka sehemu zifuatazo; Arusha mjini, Moshi mjini, Karatu Mjini, Monduli mjini na Arumeru magh na Arumeru mashariki. Kwa mawasiliano zaidi piga 0789-565955 au 0768-565955 au 0788-073049 au...
Ndugu zangu naitwa Angelina Abel Mauza. mwalimu katika shule ya secondary Kiagata. Shule ilikuwa wilaya ya Musoma vijijini lakini kwa sasa ipo wilaya ya Butiama. ninamtafuta mwalimu wa kubadilishana kutoka Arusha mjini, wilaya ya Arumeru mashariki, Arumeru magharibi, monduli mjini, karatu mjini...
una uhakika gani kuwa richmond ilikuw a ya Lowassa! ndugu mbona Lowassa anawakera sana? mimi nikuambia ndugu yangu siku zote panya akimwona paka lazima atapetape. wote wanaompiga lowassa vita kwa hisia za richment niwaombe wakaanze form one waelemishwe maana Watanzania sio wajinga wa kupumbazwa...
kwa hiyo ndugu yangu ingekuwa wewe ungetakaje hasa? Zanzibar wana nchi yao, ya Tanganyika iko wapi? kwa Wazanzibari Tanganyika yao. na kwa Watanganyika Zanzibar ni nchi ya watu. wewe ndugu penda nchi yako na kama mbunge usirudie kutoa hoja ya kikwete kubaki madarakani.
Hizo ni propoganda tu za vibaraka wa watu wanaomwogopa Lowassa. hakuna mtu ccm anayeweza kuiongoza nchi ndani ya ccm isipokuwa Lowasa peke yake. na kama hao mnaodhania wao ni wasafi kuliko Lowasa dhibitisha. Acha kurukaruka bila hoja. vijana mmezaliwa tu juzi sasa hivi unawasema watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.