Recent content by KishimbaJr

  1. KishimbaJr

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi na majirani wenye maisha ya chini/ Duni

    Mpiji au?
  2. KishimbaJr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

    Sure, ila ndo Globalization yenyewe huwezi kuizuia.
  3. KishimbaJr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

    Umeongea kwa hasira sanaa
  4. KishimbaJr

    JamiiForums Tanzania Nahitaji jina la Body spray kali

    Global man imepoa sanaa, halafu haitoboi masaa 12, Elope, sina swali...Mnyama kabisa huyu, tena ukijichanga mpk 25k unapata perfume yake OG Ebhanaa eeeh the rest is history!
  5. KishimbaJr

    JamiiForums Tanzania Set nzima ya WIX

    Picha haifungukiii[emoji34]
  6. KishimbaJr

    JamiiForums Tanzania Uliondoka kwenu na kuhamia kwako ukiwa na umri gani?

    Sawa Mzee, ila the way unavyoiongelea ukubwa wake na ukija kusema mpk sasa imekula 86m ni kama vile mtu ajenge hivyo halafu apauwe na kuweka grill tu ndo inaweza kucheza hapo, ila kama umeimaliza kwa kufaa kuhamia still 86m ni ndogo sanaa ndo maana tukauliza ukubwa wa nyumba in sqm, pengine...
  7. KishimbaJr

    JamiiForums Tanzania Uliondoka kwenu na kuhamia kwako ukiwa na umri gani?

    Nyumba ina ukubwa gani in terms of sqm??
  8. KishimbaJr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  9. KishimbaJr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

    Inamaana gari ya kwanza ya Dar --Iringa inaanza kuondoka saa moja? Hakuna zinazowahi kutoka labda mida ya saa 11 alfajiri au 12 kamili juu ya alama ili kuwahi kufika?
  10. KishimbaJr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

    Fahari ya Iringa ni nini?? Kwa mfano mtu akienda Tabora atabeba Asali, akienda Mtwara atabeba Korosho na mfano kama huo kwa mikoa mingine, Je iringa ni nini utambulisho au zawadi naweza beba na kujivunia nimetoka iringa?
  11. KishimbaJr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

    Naomba kuuliza wakuu hivi Dar to Iringa ni masaa mangapi? Na je ni bus gani linatembea fresh (lenye Safari) yaani chap kwa haraka na sio kufika giza, Natarajia kusafiri soon?
  12. KishimbaJr

    JamiiForums Tanzania Je, Top lemon plus inachubua?

    Ok List ya mafuta unayouza sana kwa wateja wako, 1...Wakike 2...Wakiume
  13. KishimbaJr

    JamiiForums Tanzania Je, Top lemon plus inachubua?

    Naomba List 5 Ya Mafuta Mazuri,
  14. KishimbaJr

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje kununua nguo nzuri za mtumba?

    Niunganishe nao mkuu, nipo dar Kimara
Back
Top Bottom