Recent content by kisharuki junior

  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi Mkuu 2020, Members wa JF kuchagua Rais

    Ni wazo zuri. Ila napata shida kidogo pale unaposema tukiruhusiwa kuvote. Kwani na kupiga kura tunaomba ruhusa? au tunapangiwa na mamlaka fulani? Nadhani ni wajibu na haki yetu kuchagua ama kuchaguliwa.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Demokrasia Tanzania: Hakuna Uchaguzi bila msamaha wa kodi

    Mwandishi wa taarifa hii ni kama vile anaficha uso wake nyuma ya kidole gumba chake.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Taifa Stars na poleni kwa uchovu

    Ahsante kwa uchambuzi. Tatizo kila kitu Tanzania tumekiwekeza kwenye siasa. Na bado.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa Viwanda, Edwin Mhede kuwa Kamishna Mkuu TRA

    Bashe yuko smart sana, hataki watu wenye ubongo mpana
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa Viwanda, Edwin Mhede kuwa Kamishna Mkuu TRA

    Kila siku anateua. Hajui kama kuna kazi nyingine zinamsubiri
Back
Top Bottom